Wikiendi ya Leo: Niulize Chochote Kuhusu Mimi Nitakujibu!

nimesomea library records and information studies
ila nipo tyri kufnya kazi yeyote hali yenye kunipa kipato
 
kwa kujikadilia na uelewa wako unadhani una IQ kiasi gani? (ngapi?)
 
nimesomea library records and information studies
ila nipo tyri kufnya kazi yeyote hali yenye kunipa kipato
Mkuu Pole sana, Kwanza kabisa jaribu kujivolunteer mahali ili uwe competent katika field ulosomea.. Hakikisha uko vizuri then tafuta kazi ukiwa na hako ka experience hutokosa, Nami nakuombea!
 
saawa mkuu ila nisha volontia kidogo af garama za kuenda job aahh nkaacha kwanza ntulie om\
 
kwanini leo asubuhi umeamka umelowa mapajani ?
 
Nini kifanyike kuwasaidia vijana kupunguza ugumu wa maisha?
Nb: Sitaki majibu mepesi.

sipo hapa kumfurahisha mtu. Over.
 
Ukatoliki unahusishwa na Free marson, unasemaje kuhusu hilo?
 
Nini kifanyike kuwasaidia vijana kupunguza ugumu wa maisha?
Nb: Sitaki majibu mepesi.

sipo hapa kumfurahisha mtu. Over.
Vijana tunatakiwa kuwa wabunifu!, Majibu yote yako hapa kwa wenye elimu na wasio na elimu!
 
Back
Top Bottom