Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Taadhariβ
Taadhari........100,000/=
Haiombwi hivyo Mkuu.Nina ka mia tano hapa mfuko wa shati π, natafuta pisi inayojitambua tukaitumie jioni ya leo.
Matumizi yatakuwa kama ifuatavyo:-
Chakula.........100,000/= Vinywaji.........200,000/= Malazi..............100,000/= Taadhari........100,000/=Kama unajiamini wewe ni pisi kali, ukipita sehemu lazima watu wavunjike shingo kwa kukutazama, sogea karibu uje ufurahi na marafiki.
Anaenda kuspend hela ya uplatinum memberπHaiombwi hivyo.
Waambie kuna 300k kwa pisi kali. Tupige siku moja.
Sasa hiyo budget yako hakuna hata kishika mkono kwa mtoto wa watu. Uje umlale na aondoke akiwa na hangover!?
Macho yameanza kuzeeka πTaadhariβ
Tahadhariβ
Hii inaitwa kufurahi na marafiki πHaiombwi hivyo.
Waambie kuna 300k kwa pisi kali. Tupige siku moja.
Sasa hiyo budget yako hakuna hata kishika mkono kwa mtoto wa watu. Uje umlale na aondoke akiwa na hangover!?
Maskini bwana, ebu muogeshe hata mjomba wako hapo kwa sister ako. Acha kuwaza ujinga dogo.Nina ka mia tano hapa mfuko wa shati π, natafuta pisi inayojitambua tukaitumie jioni ya leo.
Matumizi yatakuwa kama ifuatavyo:-
Chakula.........100,000/= Vinywaji.........200,000/= Malazi..............100,000/= Tahadhari........100,000/=Kama unajiamini wewe i pisi kali, ukipita sehemu lazima watu wavunjike shingo kwa kukutazama, sogea karibu uje ufurahi na marafiki.
Wakikusikia watakuponda mawe mkuuJf hamna pisi kali, hili tangazo peleka insta huko utakimbia mwenyewe.
Ila hapa kwakweli sidhani.
Njoo tushibe woteUmeshiba mwenyewe π€£
Kwa Raha zako!
Hii inapatikanaje mkuu?Anaenda kuspend hela ya uplatinum memberπ
Unalipia kila mwaka 500kπ€ΈπHii inapatikanaje mkuu?
Ina mahusiano gani na uzi π
Nimeuliza mamlaka ya juu ni uongo! Mchango upo lakn haukufanyi kuwa platinum member.Unalipia kila mwaka 500kπ€Έπ
Njoo kwenye mtoko πila Equation ππππ