Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Jamani mambo gani tena tajiri.....Tatizo wewe una mambo mengi 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani mambo gani tena tajiri.....Tatizo wewe una mambo mengi 😀
Wapo wengiJf hamna pisi kali, hili tangazo peleka insta huko utakimbia mwenyewe.
Ila hapa kwakweli sidhani.
SawaWapo wengi
Ole wako unitaje🤸Mkuu kuna I'd hata ukinusa tu unatambua huyu ni bakari .
NikutajieSawa
Ila wewe mdada kuna siku nitaomba namba ya wakala aliye karibu yakoMimi sio pisi kali, ila naomba elf kumi ninywe bia, safari kubwa za moto tano.
Natanguliza shukrani.
Niulize mimiSio kwel mkuu pisi zipo sema ni smart sana , zinajilinda kukumbana na vijana wa ovyo , tulio jazana humu , zile za insta ni changanyikeni njaa kali na mwajuma ndala ndefu .
Unataka ujipakulie minyama, haya acha nikupe pande..Nikutajie
Ntakua nakucheki kila siku kukumbusha yani hadi jukwaa ka siasa nakuja tu "Dia ile ishu vipi" 😹😹😹😹😹Ila wewe mdada kuna siku nitaomba namba ya wakala aliye karibu yako
Nikuulizeje tena wewe mkuu , kwani mimi siwajui😁😁Niulize mimi
Mams wa humu wengi sura za politicians
kunaye wawili ni wazuri balaa ila ID zao sio famous
Vp unataka uidronedrake?Picha ya huyo binti unayo ? Naomba
Hana hiyo hela ila ameamua ku clear cache, grudges tu kichwani kwake 😂😂😂Taadhari❌
Tahadhari✅
Ahhhh wewe ni pisi ya moto sema mwashambwa anakupotezea malengo😁😁Ole wako unitaje🤸
😂 😂 😂Ila wewe mdada kuna siku nitaomba namba ya wakala aliye karibu yako
Nione yaliyomo yamo?Vp unataka uidronedrake?
Sure , i had a trip to Moshi town last 3 weeks, niliitwa na member mmoja humu, japo alikuja kwa id mpya ili nisimtambue, ilikua ni mazungumzo strict ya kazi. Aloo, kuna pisi humu. Sema yeye ni age go kidogo around 40 hiv, kashuka zake mwenyewe ana push Harrier yake kali. Tukamaliza nikasepa kurud town ,na hiyo id sijaona tena ikiwa active ndio nikajua ilikua kikazi zaid..Sio kwel mkuu pisi zipo sema ni smart sana , zinajilinda kukumbana na vijana wa ovyo , tulio jazana humu , zile za insta ni changanyikeni njaa kali na mwajuma ndala ndefu .
Hahahahaha...dah utatisha sana..nitakumbuka tuNtakua nakucheki kila siku kukumbusha yani hadi jukwaa ka siasa nakuja tu "Dia ile ishu vipi" 😹😹😹😹😹
Nakubaliana na weweSure , i had a trip to Moshi town last 3 weeks, niliitwa na member mmoja humu, japo alikuja kwa id mpya ili nisimtambue, ilikua ni mazungumzo strict ya kazi. Aloo, kuna pisi humu. Sema yeye ni age go kidogo around 40 hiv, kashuka zake mwenyewe ana push Harrier yake kali. Tukamaliza nikasepa kurud town ,na hiyo id sijaona tena ikiwa active ndio nikajua ilikua kikazi zaid..
So , wapo wanawa zoom tu vujana mnavyoleta makeke ya kifala fala, mara ooh single maza, mara nyoko nyoko,🙄wao kimyaaa 😂😂. Women are so clever.