WikiLeaks: Tanzania official fears for his life!


Hii aibu ya kitaifa Mkapa na JK wake watajitokeza lini na kutuomba msamaha kwa ulafi wao?
 
Mambo ya wikileaks yanakiweka kiti cha Hoseah hatarini sasa.


 
More to come...nadhani kwa sasa viongozi matumbo joto maana hawajui what will come next. Unaweza kukuta zikamwagwa data ambazo zitawavua nguo viongozi wetu na unafiki wao uliokubuhu. Natamani ziwepo habari za wizi wa EPA, meremeta, deep green na juu ya Balali. Jamaa wanaweza kuthibitisha kuwa balali hajafa.....uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, wikileaks mwaga mpunga kwenye kuku wengi please
 
Hosea aache unafiki na asitufanye Watanzania wapumbavu kwamba tunasahau kiraisi ivyo,wote tunakumbuka maneno ya Jk alipokuwa analizindua bunge mwaka 2005 juu ya kuwaacha viongozi Wastaafu akimlenga Mkapa kwamba waachwe wa pumzike kwa Amani hata kama waliiba nakuifilisi Nchi.

Juzi hapa kwenye Kampeni amemnadi Mramba kwenye Campaign kwamba ni Mtu safi wakati Takukuru inamshtaki Mahakamani.

Hivi huu Udokta wa Hoseah ni wa kupewa nin? Siamini kama Msomi kama yeye anaweza kuwa Unprofessional ivi kwakuongea pasipo kuamini anachokisema so anamdanganya nani maybe Jk but to we Great Thinkers he 'll never succeed at all na akae mkao wa Kula wakutidoliwa kama Boss wake atamshtukia anampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Hosea hajui hata kusema uongo. Akajifunzie kwa wife wake akiona ameiva aje hapa, maana watu wanaamini uongozi huanzia nyumbani.
 

Hivi huyu Hosea anafikiri sisi mabwege kiasi hiki!!! Serikali italipa fidia gani kwa kumfanyia mtuhumiwa uchunguzi????!! Anasema uchunguzi hauwezi kufanyika kwa ushahidi dhaifu... kama wangepata ushahidi wa uhakika uchunguzi ungekuwa wa nini tena???!!! Uchunguzi unafanywa pale ushahidi unapokua si wa uhakika!!! Ushahidi wa uhakika ukipatika mtu anapelekwa mbele ya PILATO!!! Mtu anaweza kupelekwa mahakamni kabla ya uchunguzi kukamilika?????!!!! This gringo is nothing but chicken head!!!!! Hiyo ndo Serikali ya CCM! They are nothing but PLUNDERERS!!!
 


"sometime the only solution is execution for some" huyu mtu hata haoni aibu kukanusha na kujidanganyanganya? ningekuwa kikwete ningemsimamisha kazi mpaka atoe maelezo kamili. ile ni kashfa kubwa sana kwa kiongozi wa nchi, kusema Rais anazuia upelezi.... hata kwenye hayo maelezo bado hajakanusha hilo,
sasa utajuaje ushahidi ni dhahifu kama ujauchunguza vya kutosha...... nitamshangaa sana kikwete asipomdiscipline huyu mtu.
 
Tatizo wakuu wetu wanadhani bado tuko stone age (hata sio industrial age) wakati kumbe tuko information age ... kwakweli watakoma maana kujaribu kukanusha taarifa za wikilieaks ambazo hata marekani yenyewe inashindwa kukanusha ni kitu cha kitoto kabisa.
 
Maswali hapa ni kweli aliongea nao? na kama aliongea nao aliongea nao nini? je ni baada ya kushindwa kufanya kazi? tukirudi kwenye hali halisi je watuhumiwa wa ufisadi wanaozungumzwa kila siku wanakamatwa na kushitakiwa? kama hawashitakiwi je kwa nini?
baada ya mtu kujiuliza haya maswali mtu unarudi pale pele na kuona kwamba taarifa kutoka ubalozi ni sahihi.....hata hivyo nchi nyingi zimekanusha taarifa zilizovujishwa na wikileaks Tz haitakuwa ya kwanza lakini kukanusha haina maana kuwa si za kweli.....
 
Kama utakuwa umerejea zile post za wikileak, na kuzielewa vizuri, then utakubaliana nami Hosea amemuaibisha rais, kwa kusema kwamba ni kikwazo katika mapambano na rushwa, na pamoja kwamba amejitetea hakusema, ila kwa kueleweka hivyo na wamerakani ni kashfa tosha, and if he couldn't express himself clearly kwa huyo balozi, then he doesn't deserve to serve in this government. na ni sababu tosha kabisa kwa JK kumsimamisha kazi, kumuomba atoe maelezo au vielelezo zaidi, na pengine kumshtaki. we need some action here from our president. And if Mr. JK atakuwa silence on this issue, then we should all here at JF denounce him.
 
Mimi nampongeza Hosea kwa kusema ukweli, Hakika JK ni kikwazo katika mapambano ya ufisadi, Hebu wewe fikiria anaenda kwa Lowasa, Chenge, Rostam, na Mramba kuwapigia kampeni. Halafu Hosea ndo anenda kwa JK kuripoti taarifa za mafisadi.

Ni kikwazo, tena kikubwa tu
 
hayo majungu sasa kwani Hoseah kakosea kusema ukweli??
na kama kweli ni ni kikwazo? hv mtu mwenyewe unayemsema yupo nchini kweli??
TULISEMA URAIS wa kubaka hauna Amani na yanatokea sasa bado mengi yatakuja!
 
Hosea ndio mwanaume wa kweli na alikua anahaja ya kupinga kuhusu hilo swala,na jk awezi kumshughulikia hosea kwa sababu ataonekana ni mtu wa visasi ukweli upo wazi kua jk ndio kikwazo cha mafisadi(anawalinda)sasa wilieaks ndio hao wanakuja na mada moto moto.
 
to make things better, we need local wikileaks as well

Acid,
Local wikileaks ilikuwepo enzi zileeeeee ikiitwa " MIKINGAMO" SIJUI iliishia wapi na kama ilikuwa na tija yeyote...
Whistleblowing ni kitu kizuri kama itakuwa handled responsibly.Vinginevyo ni kiwanda cha majungu, umbeya na uongo.
 
Kikwete ni kichwa cha mwendawazimu, asie na maamuzi acha dogo Hosea na uozo wake ajiongezee japo credits maana anajua JK hawezi m-hold accountable. Kama angeweza angelishaondoka siku nyingi sana PCCB.

Na wewe mwandishi ulichoandika ni NYODO zako kama jina lako juu ya upenzi wako kwa Kikwete ukiona hakutendewa haki kwa kuambiwa ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…