navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 188
- 224
Wadau nataka hama hapa nilipo kuja jiji la mwanza, sijawahi kufika mwanza ila nahisi naweza kupamudu coz ni mtu wa kanda hiyo..
Shida sijajua ni wilaya ipi itakua favor kwangu kwa kuzingatia kupata ka kiwanja ka kujenga, na kimechangamka japo kidogo..sitaki mjini kati sana ila pia sipendi pawe mbali na mjini kati...
Nina kianzio kama cha 10ml ila nahitaji sehem ambayo naweza pata kiwanja hata cha 3ml na biashara nikafanya japo kidogo..
Hapa nilipo naona kabisa pamenishinda kwahyo nahitaji tafuta changamoto sehemu nyingine..
Nimelileta kwenu wadau,hasa mnaoishi mwanza kunikaribisha na kunipa muelekeo sahihii ili namm niweze kuishi ndoto zangu..ASANTENIII