Wilaya ipi nzuri ya kuanzia maisha mwanza

navigator msomi

Senior Member
Joined
May 8, 2018
Posts
188
Reaction score
224
Wadau nataka hama hapa nilipo kuja jiji la mwanza, sijawahi kufika mwanza ila nahisi naweza kupamudu coz ni mtu wa kanda hiyo..

Shida sijajua ni wilaya ipi itakua favor kwangu kwa kuzingatia kupata ka kiwanja ka kujenga, na kimechangamka japo kidogo..sitaki mjini kati sana ila pia sipendi pawe mbali na mjini kati...

Nina kianzio kama cha 10ml ila nahitaji sehem ambayo naweza pata kiwanja hata cha 3ml na biashara nikafanya japo kidogo..

Hapa nilipo naona kabisa pamenishinda kwahyo nahitaji tafuta changamoto sehemu nyingine..

Nimelileta kwenu wadau,hasa mnaoishi mwanza kunikaribisha na kunipa muelekeo sahihii ili namm niweze kuishi ndoto zangu..ASANTENIII
 
ukiwa mjanja uko chap kukaba space pale city center uwa napakubali sana.
kuna wadau pale kina Bokasa,Kapachino,Mangustino vijana wanapambana sana kumake mshiko.
 
Magu, halmashauri ya Buchosa
Magu asiende! Mji kama umepigwa bomu bwana!! Ukienda mida ya mchana mji upo kimyaa kama hamna watu.

All in all mleta mada chaguo lake litakalokuwa bora kwake ni mwanza mjini maeneo ya buhongwa
 
Wadau nataka hama hapa nilipo kuja jiji la mwanza, sijawahi kufika mwanza ila nahisi naweza kupamudu coz ni mtu wa kanda hiyo..

Shida sijajua ni wilaya ipi itakua favor kwangu kwa kuzingatia kupata ka kiwanja ka kujenga, na kimechangamka japo kidogo..sitaki mjini kati sana ila pia sipendi pawe mbali na mjini kati...

Nina kianzio kama cha 10ml ila nahitaji sehem ambayo naweza pata kiwanja hata cha 3ml na biashara nikafanya japo kidogo..

Hapa nilipo naona kabisa pamenishinda kwahyo nahitaji tafuta changamoto sehemu nyingine..

Nimelileta kwenu wadau,hasa mnaoishi mwanza kunikaribisha na kunipa muelekeo sahihii ili namm niweze kuishi ndoto zangu..ASANTENIII
Sengerema, Magu ama Misungwi, zote hizo tatu ni nzuri kwa maoni yangu kwa sababu kuu zifuataz.
1. Ziko karibu na Mwanza jiji kwa umbali usiozidi km 65 kila moja.
2. Usafiri ni rahisi
3. Ziko katika njia kuu zinazounganisha Mwanza na mikoa jirani
 
Ml 10 kubwa njoo mjini kati ndio utamake wilaya zote za mwanza ni kama zimemezwa na mwanza mjini hazijachangamka Sana mm naishi huku naona ivo.
 
Back
Top Bottom