Chato tena
Member
- Jan 17, 2021
- 24
- 50
Wilaya ya Kaliua inakumbwa na majanga mengi kwa watumishi wake changamoto inayoikabili wilaya ni Rushwa ya ngono kwa watendaji wake hasa wakuu wa vitengo kuwakata watumishi wa kada za chini.
Tukianzia sakata la mwalimu johari kupigwa na mkuu wake wa shule. Ni kweli mkuu wa shule alimpiga mwalimu na kumdhalilisha vibaya Haswa.Unajua waalimu wengi huwa ni waoga sana wakiambiwa waseme watoe ushahidi wengi wao huishia kukimbia. Uzuri mwalimu Johari namfahamu na nimefanya naye kazi ni mchapa kazi kweli sio madam wa kulia lia. Aliipaisha shule ya msingi Ufukutwa na ikawa inafanya vizuri. Alikuwa promoted to Halmashauri.
Changamoto alialiyoipata mwalimu Johari kutakwa kimapenzi na mkuu wake wakitengo Kwani mwalimu mkuu anatumika na afisa elimu kumbana mwalimu johari. Yaani huyo afisa elimu naona karibia waalimu wa kike wote ni mademu zake. mfano kuna mwalimu mmoja anaitwa madam Siwa wa mwangaza primary kila ikotokea kazi maalum lazima apate na mara nyingi huwa madam anapewa special duty mfano kuwa reseved party. Kufanya kazi wilaya ya Kaliua kwa wanawake ni shida bora hata kipindi cha pima.
Ukija sekondari ndio balaa kuna mkuu mmoja Kaliua high school bado ni kijana sana na dhani wangesubiri kidogo nafasi aliopewa nadhani anakula sana wanafunzi ni ushari tu, alikuwepo mkuu mmoja anaitwa Beni physics yeye ilikuwa kazi yake ni kuuza vyakula vya wanafunzi, sasa huyu wa sasa kazi yake ni kula wanafunzi sasa hofu yangu nikale ka ugonjwa ketu pia headmaster wa Kaliua ni rafiki yake na afisa elimu sekondari. Kazi ni kupasiana watoto zetu.
Mkurugenzi wa Kaliua (mandevu) yeye yuko busy na simu muda wote. Yeye mwenyewe ndio anaongoza kula wafanyakazi, kiufupi Kaliua hatuna mkurugenzi yule anafaaa kuwa kiongozi katika magroup ya watsap, insta, facebook, telegram na n.k. Maana yake kila ukiongea nae yuko busy kuna malalalamiko mengi sana katika waliya hii lakini yeye yuko,
Mfano kuna kijana mmoja anaitwa mpaji ni kiongozi wa uvccmm kazi yake ni kuwaibia vijana pesa kwa kuwaambia vijana kuna ajira mwisho wa siku mtu anaambukia vumbi kali. Kesi zimepelekwa viongizi wa chama chake lakini wameishia kulindana, mfano kuna jammaa kapigwa 1.5m kesi iko kwa mkurugenzi mpaka sasa. Mkurugenzi mpaka sasa anazungusha na kijana yuko mtaani anadunda.
Ukiaangalia kwaundani Kaliua mpaka sasa haina viongozi wala nini, hasa huyu DED na DAS (man from UDOM) wake ndio hovyo kabisa, mkuu wa wilaya anapiga kazi vizuri
Pia soma;
www.jamiiforums.com

Kaliua Saga: Vita ya Madaraka na uhuni wa wahuni
Ulipofika wakati wa kustaafu mzee Nchimbi (the former DEO) watu walitarajia kupata promotion kuchukua nafasi yake lakini haikuwa hivyo badala yake akaletwa Martin Mahinda kushika madaraka ya DEO. Watu wakaanza kumsoma DEO mpya ni nani na kwa nini kaliua. Kutokana na uchanga wa wilaya nafasi...
Kaliua, Tabora: Suala la Mwalimu Johari Jumanne aliyedaiwa kupigwa na Mwalimu Mkuu kwa kuchelewa Shule lachukua sura Mpya
Mwalimu Johari Jumanne wa Shule ya Msingi Lufukutwa Iliyopo Kaliua Tabora, amelalamika kupigwa na Mwalimu wake Mkuu anayefahamika kwa jina la Africa Kitinya. Johari amedai alipigwa sababu ya kuchelewa na inaonekana Mwalimu Mkuu huyo alipewa maelekezo na Afisa Elimu amnyanyase kwani wamekuwa...