Wilaya Kaliua na sakata la Mwalimu Johari kupigwa ofisini

Haya ni majungu halafu unawadharirisha walimu hao kwani wao wameshindwa kujieleza
 
Nikweli majungu yapo sana makazini
 
Serikali imalize hili sakata haraka,Walimu wanateseka na kunyanyaswa sana.
 
Chama Cha walimu nacho ni ujinga tu na kwa Nini hakijafutwa mpaka Sasa hivi nashangaa maana hakina msaada wowote kwa walimu. "Mungu wasaidie Hawa walimu" wanafanya kazi kwenye mazingiira magumu Sana.
CWT ni hovyo kuliko chama chochote kilichopata kuwepo duniani hapa.

Hakiwezi kufutwa kwa sababu za kisiasa, si unajua ukikaribia uchaguzi Chama twawala hujichotea mpunga wa kampeni ..sa tutakifutaje hapo?

Kiufupi walimu hawana mtetezi na walimu wenyewe wengi wao hawajitambui
 
Aisee,mwambie johari aache kiburi ajira ni ngumu,kama ticha big anamtaka waelewane tu maana atateseka sana.

Nimependa walimu wakike wanavyoitwa kwa heshima lazima neno Madam litangulie ndo utaje jina lake

Madam ticha Johari punguza kiburi.
 
Ni kama BAKWATA vile.
 
Tatizo vijana wa JF ujuaji mwingi sheria za kazi hamjui ? Kazi kutetea ujinga tu ndio wahusika wenyewe kwa mujibu wa kanuni za utumishi "standing Order " hakuna mahari mkuu wa shule au kiongozi yeyote yule anaruhusiwa kupiga mtumishi kwa kosa lolote lile , kanuni zinasema mtumishi akichelewa kazini kuna onyo , akirudia karipio akirudia , karipio Kali , haya mambo ya kupiga watu mnayatoa wapi ? Na baadhi ya illiterate mnashangilia .
 
Pambane na hali zenu maana huko ni CCM tupu
 
Hiyo kazi ya ualimu ingenishinda ningewapasua sana bora huku najiamulia lakufanya
 
Hivi unamjua huyo mkuu vizuri ni tabia yake kupiga watu ni mbabe sana.
mkuu hakuna mkuu wa kitengo chochote kumpiga mtumishi kwa ajili ya mambo ya kiofisi kwanza ni udhalikishaji kama n kwa kina mama sio kuwa na watetea hapana .zipo sheria na kanuni za kumuwakibisha mtupishi pindi anapovuka mipaka ya kazi kuna ngazi tofauti tofati na njia zake .Binafsi watumishi weng wao wanafamilia sasa unaanzia wap kumdhalilisha mama wa watu aise gusa wife wangu na cheo chako cha k*ma nikoneshe standing order inataka nn . mambo ya ovyo ukuu wa idara umeegesha kwa mda unanyanyasa wengine HIYO HAIKUBALIKI WAALIMU N WATU WANAOJITUMA NA WENYE NIDHAM SANA KWA SABABU N WAOGA SANA
NASHAURI WAALIMU SOMENI SHERIA ZA KAZI NA MIPAKA YENU MPATE HAKI ZENU ZAMA ZIMEBADILIKA
 
Mwalimu mkuu, punguza jazba kwenye kazi za umma, jifunze pia kupima ufanisi wa kazi badala ya kumfanyia timing mwl.johari ili umuoneshe kuwa wewe ni mwalimu mkuu. Ukimtaka ki binafsi, fika bei😂😂😂
 
Aisee wadada shida sana, nina Afisa mmoja kagombana na Secretary wangu nilipomgusa kumuhoji akakimbilia ngazi za juu akadai namshika maziwa aisee, nilibaki nimeduwaa na kumwachia Mungu!
 
Umesahau kapigwa na Mwalimu pia, ambaye ni miongoni mwa unao watetea!
 
Mi nikisoma taarifa za mtumishi kumpiga mwanamke mtumish kwenye mambo ya kiutendaji najiuliza hivi mke wangu apigwe na sijui boss wake iiii! Kwa vile si kitendo cha kisheria hata mimi sita opt hatua za kisheria. Yan umpige mke wangu!!!! Aisee baada ya hapo ukamwelezee Mungu ulichofanya mke wa mtu huko huko. Mabos wa hiv mna bahat sana.
 

Attachments

  • IMG-20210215-WA0011.jpg
    78.9 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…