Wilaya kigamboni nahisi kwa dsm inaweza ikawa ndio inaongoza kwa askali wa usalama barabarani na makamera

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Katika tambia yangu mkoa dsm kigambo nahisi ni mahali ambapo panaongoza kwa askari barabarani.yaani sijui kwanini maana mikoani tunahitaji pia maana mimi nipo musoma sijawahi kuona trafiki labda kuwe na jambo kigamboni nimekutana na camera 3 na sehemu zaidi ya 5 tumesikamishwa ebu mje mkoani pia uku mbona mnajaa sana mjini uko.uku mikoani tunauhitaji
 
Eeh Muraa kutoka Bunda mpaka Sirari hakuna askari kukaa barabarani muraa hiyo ndio safi sana usiombee waje huko.

Mbona wapo wengi tuu huko mmewekewa wilaya ya kipolisi rorya.

Halafu tulia muraa uandike vizuri, twendezetu kitunda tukapate kichuri kwa Marwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika tambia yangu mkoa dsm kigambo nahisi ni mahali ambapo panaongoza kwa askari barabarani.yaani sijui kwanini maana mikoani tunahitaji pia maana mimi nipo musoma sijawahi kuona trafiki labda kuwe na jambo kigamboni nimekutana na camera 3 na sehemu zaidi ya 5 tumesikamishwa ebu mje mkoani pia uku mbona mnajaa sana mjini uko.uku mikoani tunauhitaji
Nimecheka kweli Mkuu halafu nikakumbuka kuwa kijiji kwetu kuna coasta moja tu na bovu kweli sasa wakija Trafic mbona tutakuwa hatusafiri kabisa . Wabaki hukohuko Dar maana huko mnawezana wenyewe.
 
Back
Top Bottom