HahahahahaShule zimebaki kubandika matokeo nje ya mageti yao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shule zimebaki kubandika matokeo nje ya mageti yao
Eeeh hawana la kutudanganya.Hahahahaha
Oooh! Safi sana.Serikali imeamua futa biashara ya mitihani na matokeo.
Kuanzia sasa hapatakuwa na rankings za shule au wanafunzi.