A
Magali ya bilioni 600 na Bado hatutosheki..Kila sehemu ukiigusa imeoza.
Huwa kila mara mko kwenye maandamano na mabango ya "mama hana deni" hivyo acheni kulalamika kuleni hata mchanga maisha yaendelee. Rostam na Kikwete wako busy wanazichota.Wilaya ya Geita Vijijini tangu Mwezi wa tatu mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu, hivyo maisha yamekuwa magumu sana mitaaani naomba utusaidie kupaza sauti Jamii Forums.
Nyingine soma
~ Ajira mpya za Walimu Msingi na Sekondari Mwaka wa fedha ulioisha hatujalipwa fedha za Kujikimu
~ Waziri wa TAMISEMI ingilia kati 'upigaji' wa fedha za kujikimu unaoendelea kwa Ajira Mpya
~ Fedha za kujikimu za watumishi wa ajira mpya 2025
~ Je, ni vyuo vyote vya ualimu wanafunzi wanaosoma diploma in science and mathematics hawapewi fedha za kujikimu
πππ€Oktoba mkatiki kwanza....
Mrudisheni salary Ili mpewe posho.Wilaya ya Geita Vijijini tangu Mwezi wa tatu mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu, hivyo maisha yamekuwa magumu sana mitaaani naomba utusaidie kupaza sauti Jamii Forums.