Wilaya ya Ilala ni kubwa ambayo inahusisha mjini kwa maana ya kariakoo na posta pamoja na miji ya pembezoni kama Tabata, Segera, Kinyerezi, Maramba, Kitunda yote hadi Kivule,Ukonga, Gongo la mboto na vitongoji vyake ikiwa ni pamoja na chanika na maeneo mengine kama majohe pugu bomba mbili bwera nk nk.
Kwa ukubwa wa wilaya hii na umuhimu wa mji wenyewe ni rahisi maeneo ya pembezoni kusahaulika kihuduma na kujikita zaidi mjini ambapo ni kioo cha nchi.
Wahusika waangalie uwezekano wa kuwa na wilaya ya UKONGA ambayo itasimamia maeneo hayo.