Hopeless tutaendelea kuwanyoosha tu.Kwa hilo jina lako tu, ulitakiwa ukikanusha njoo na taarifa ya ukweli. Na hv uko nyuma ya keyboard trust me ,,wewe ni mujiingaaaa
Hopeless tutaendelea kuwanyoosha tu.Kwa hilo jina lako tu, ulitakiwa ukikanusha njoo na taarifa ya ukweli. Na hv uko nyuma ya keyboard trust me ,,wewe ni mujiingaaaa
Hahaha story tu hizi, hakuna kitu kama hicho.
Weka picha na video.
Mbona ya Hawa Ghasia iliochomwa moto iliwekwa hapa?!
Unahitaji ruhusa ya nani kuweka viambatanishi hivyo?!
Hopeless tutaendelea kuwanyoosha tu.
Kwani hatujawanyoosha?Huna lolote mkuu,uache kukomenti ujinga
Sasa kwanini azushe?!Kama ni uzushi basi hakuna picha na video, na wala usiviombe
Hahaha ukisubiria makande huku Kibaigwa, unakubali kila kitu hata uzushi?!Sasa wewe unakataa nini wakati upo huko kwenu kibaigwa unasubiri makande yaive ule?
Cha ajabu sioni media yoyote ikitipoti hizi vurugu. Je, mtandao kuzimwa ndio sababu?
Anazungumzia taarifa zinazopelekwa kwenye kamati ya haki za binaadamu tu, msichanganye mambo.
Media hawawezi kurusha hayo, mitandao pia ilipigwa pini tokea majuzi, rusha hizo picha uwajuze watanzania...Mimi mkazi wa Dar es salaam nimekuja Liwale (nyumbani) kuwacheki wazazi . Nilichokikuta huku ni hatari. Kuna kata hapa mjini inaitwa Likongowele hali si shwari, mawakala wamepigwa na umma, nyumba ya diwani mteule Mussa Mkoyage imechomwa moto.
Kuna kata ya Lilombe huko wananchi mpaka wanafikia hatua ya kukatana viungo muhimu kama miguu na masikio. Kwa ufupi kata nyingi zimegubikwa na vurugu. Mkihitaji picha na video nitaweka kama patakuwa na ulazima.
Cha ajabu sioni media yoyote ikitipoti hizi vurugu. Je, mtandao kuzimwa ndio sababu?
Je, kuna wilaya au jimbo lingine Tanzania vurugu zingali zipo mpaka sasa?
Wewe uliyesema si kweli, evidence uliitoa wapi? No evidence, no right to speak!Sasa kwanini azushe?!
No evidence no right to speak!
Nazungumzia zile registered Media.Hata wewe ni media
Sasa kwanini umeleta uzi huu kama huna ushahidi?Nazungumzia zile registered Media.
Mimi ugali wangu hautokani na kazi ya kuwapasha watu habari