Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

 
Urithi walio achiwa na waarabu..hapo ndio muelewe muarabu ni mtu wa aina gani.
Ni hatari sana... Ndo maana watumwa waliopelekwa uarabuni walipitea wote bila kuacha kizazi chochote tofauti na Ulaya.
 
Shinyanga Kuna Waarabu kule ushetu matajiri wenu wote Waarabu, kishapu hivyo hivyo
Tabora
Luguru
Singida
Mwanza wamejaa

Mbeya kule Tukuyu wanajiita Mwabwanga
Mbarali wengi sana Waburushi

Vipi na Hawa na hiyo mentality yako?
Huko ulikokutaja kote uislamu hauna nguvu ni familia chache chache tu za kuokoteza ndio zina waislam na nyingi ni duni ndio mana huitwa waarabu koko.

Hata hao matajiri unao wataja waarabu koko wengi ni maharamia na wanapata support kutoka kwa ndugu zao walio uarabuni hasa saudia na oman.

Ila maeneo ya pwani uislamu uliko kita mizizi kama hapo mafia ndio utaona maana halisi ya urithi wa muarabu na uislamu kwa waafrika.
 
Alafu nani kakudanganya kuwezeka na makuti ni umasikini. Kuspend pesa sana ndio umasikini zaidi nikuzungusha au kununulia madini na ardhi. Hizo tabia nyingine ndio mbaya kama ubaguzi sio Jambo zuri
Ni nyumba fulani hivi ambazo hazina afya kabisa... Na hizi nyumba hazipo updated akijenga amejenga labda iungue tu. ( so utakuta nyumba inauliza nikuue au nikuue Kesho.)
 
 
Popote alipopita MUARABU aka Muislamu, pamelaaniwa.....
 
. Uzuri wa mafia ni ujambazi tu ndo haupo mkuu,

. Kwa sababu hata niseme labda kuna mademu mazuri lakini hamna ni sura ngumu ngumu tu.
Mkuu, na hao waburushi uliowasema wanatokea wapi?

Kuna chimbo moja la mbongo mwenzetu (Mwenyeji wa Mafia) alinusurika ajali ya ndege akapata fidia kaamua kuwekeza mahala ufukweni. Niliwahi kukuta totozi za kwenda maeneo hayo, ama walikuwa imported?
 
Pale Shinyanga, Ushetu, Kishapu Uislamu hauna nguvu ?

Ukitoka hoja hiyo hata sisi tunawaita Wamanga Koko, vipi hapo?

Kwamba sio tajiri bali matajiri wenu ni waarabu, unaijua nguvu ya fedha wewe?

Hata sisi unatetea nini hapa?
 
Tembea uone
 
Ndo hivyo mkuu, hata ukute wanauziana samaki hapo, utajibiwa tu samaki hawauzwi.. Labda tu upate mpenzi alafu awe anakuibia samaki alafu akuletee nyumbani vinginevyo utakula maharagwe mpaka basi.
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…