Mkuu nimecheka sana 😃Kuna wengine wapo weupe tu huku, hivyo watahija security zaidi(pesa Utapiga za kutosha) , na wanamsemo wao " ukiamua kumroga mtu wa bara hakikisha anakufa, akivuka maji akiwa mzima akifika kwao atatumaliza. 😁😁
Nikuboresha tuNi nyumba fulani hivi ambazo hazina afya kabisa... Na hizi nyumba hazipo updated akijenga amejenga labda iungue tu. ( so utakuta nyumba inauliza nikuue au nikuue Kesho.)
Huyu mzaramo wa kuchapwa na makofi 😃Dah wazaramo hawa hawa au kuna wengine master ? Dada yangu kaolewa na mzaramo , huyo kiazi kuna siku alishanipigia simu eti nitume pesa ya hospital dada yangu kalazwa🚮
M,,,nge kinouma japo nilitumaHuyu mzaramo wa kuchapwa na makofi 😃
Master kausha Master utauaDah wazaramo hawa hawa au kuna wengine master ? Dada yangu kaolewa na mzaramo , huyo kiazi kuna siku alishanipigia simu eti nitume pesa ya hospital dada yangu kalazwa🚮
Hili pepo la msaada halina faida kwa Tanzania, AFRIKA kwa ujumla.. Muslim ukimwambia hawezi kukuelewa hata kidogo.
. Muarabu akikusaidia sana labda amejenga misikiti
Acha kulazimisha kuozesha dada zako kwa watu wa pwani 🤣🤣🤣🤣🤣Msenge kinouma japo nilituma
. Hawa wa burushi ni wakiambo kidogo tangu wahamie, sijajua walitokea wapi mkuu,Mkuu, na hao waburushi uliowasema wanatokea wapi?
Kuna chimbo moja la mbongo mwenzetu (Mwenyeji wa Mafia) alinusurika ajali ya ndege akapata fidia kaamua kuwekeza mahala ufukweni. Niliwahi kukuta totozi za kwenda maeneo hayo, ama walikuwa imported?
Umenikumbusha hao waarabu waburushi enzi hizo wana nguvu ya pesa wametesa sana watu jumlisha dharau zisizomithilika. Waarabu na roho nzuri ni mbingu na ardhi.Shinyanga Kuna Waarabu kule ushetu matajiri wenu wote Waarabu, kishapu hivyo hivyo
Tabora
Luguru
Singida
Mwanza wamejaa
Mbeya kule Tukuyu wanajiita Mwabwanga
Mbarali wengi sana Waburushi
Vipi na Hawa na hiyo mentality yako?
Sasa msenge vipi wakati Hela ulituma 🤣🤣🤣🤣Msenge kinouma japo nilituma
Halafu vinajiita visukuma ila vinaoana wao kwa wao, wamedumisha tamaduni zao, hawachangamani.Umenikumbusha hao waarabu waburushi enzi hizo wana nguvu ya pesa wametesa sana watu jumlisha dharau zisizomithilika. Waarabu na roho nzuri ni mbingu na ardhi
Yawezekana mkuu, maana wenyewe wana rangi nyeusi/maji ya kunde.Waburushi wametoka sehemu inaitwa Balochistan ambayo ni Jimbo ndani ya Pakistan kwa Sasa.
Na wachache kutoka maeneo ya uajemi ya kale.
Wamekuja sino kitambo hivyo Karne ya 13-17 sio uhakika na exact date