shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 842
- 1,928
Habarini wadau.
Naongea kwa masikitiko makubwa hela za likizo mpaka sasa wilaya nyang'hwale mkoa wa geita mambo ni kimya .
Hivi nyie maafsa mnaohusika mbona hamna huruma jamani tumefunga tunaingia wiki ya pili lakini mpaka muda huu mmekaa kimya tukifatilia mnadanganya eti mtandao unasumbua.
Ifike hatua muache uongo ridhikeni na mabuu mnayopiga jamani. Wahurumieni walimu wapeni haki zao za msingi.
Mama tunakuomba uingilie kati hawa viongozi wanazingua sana. Afsa milonga tunakutegemea tutetee walimu mtupe haki zetu.
Nawasilisha wadau wilaya hii inaupuuzi mwingi.