713
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 354
- 776
Hili ni janga lipo halmashauri karibu zote sijui wamepatwa na Nini newala , Namtumbo swala na hilo hilo serikalini inatoa hela ila wanaandika kifungu Kwa ajili ya matumizi mengine kama mwenge nk unashindwa kuelewa Ina maana wamekosa ubunifu mpka wachepushe hela Kwa matumizi mengine kiujumla wakurugenzi wa mama wanapwaya sana mbona enzi za magufuli huu ujinga ulikuwa haupo Kila kitu kina simamiwa kutokana na fedha zake zilivokuja ila ukweli mchungu Kwa Hali hii wanao mkwamisha mama ni hao hao watendaji wake mwisho wa siku serikalini yote inaonekana utendaji mbovu Kwa sababu ya watu wa chache wenye Nia ovu