shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 842
- 1,928
Hivi iyo hela ipo?Dar mbona hata hatuwazi hiyo hela maana mara ya mwisho kupewa hatujui ni lini
Vipi mwamba uko wapi Kharumwa, Nyang'hwale sec,Shabaka,busolwa
Dah Nyang'hwale long time sana hiyo ndichi
Nipo mkuu ila hautakiwi kujua nipo wapi au wewe ndio nasoro au makoye unataka unijue hautonijua kamweDar mbona hata hatuwazi hiyo hela maana mara ya mwisho kupewa hatujui ni lini
Vipi mwamba uko wapi Kharumwa, Nyang'hwale sec,Shabaka,busolwa
Dah Nyang'hwale long time sana hiyo ndichi
Hahaha man Koye mzee wa visutiNipo mkuu ila hautakiwi kujua nipo wapi au wewe ndio nasoro au makoye unataka unijue hautonijua kamwe
Nimewahi pewa mara mojaHivi iyo hela ipo?
Hawa ndio walewale kazi yao upigaji.CWT wilaya hawapo hapo!!?
Wanafanya nini!!?
Ukifanya kazi loko govoo,jua 50% ya haki zako kama mtumishi wa umma umezipoteza.Habarini wadau.
Naongea kwa masikitiko makubwa hela za likizo mpaka sasa wilaya nyang'hwale mkoa wa geita mambo ni kimya .
Hivi nyie maafsa mnaohusika mbona hamna huruma jamani tumefunga tunaingia wiki ya pili lakini mpaka muda huu mmekaa kimya tukifatilia mnadanganya eti mtandao unasumbua.
Ifike hatua muache uongo ridhikeni na mabuu mnayopiga jamani. Wahurumieni walimu wapeni haki zao za msingi.
Mama tunakuomba uingilie kati hawa viongozi wanazingua sana. Afsa milonga tunakutegemea tutetee walimu mtupe haki zetu.
Nawasilisha wadau wilaya hii inaupuuzi mwingi.
Hata Halmashauri ya Wilaya ya Magu tunafanyiwa hayohayo; CWT (W) Magu tusaidieni.wanalipana wao kwa wao huko maofisini ,.walimu mtasubiri mwezi wa nane ndo watalipa
so unataka wachekecheke?Walimu kila siku ni kulialia
shida sanaHabarini wadau.
Naongea kwa masikitiko makubwa hela za likizo mpaka sasa wilaya nyang'hwale mkoa wa geita mambo ni kimya .
Hivi nyie maafsa mnaohusika mbona hamna huruma jamani tumefunga tunaingia wiki ya pili lakini mpaka muda huu mmekaa kimya tukifatilia mnadanganya eti mtandao unasumbua.
Ifike hatua muache uongo ridhikeni na mabuu mnayopiga jamani. Wahurumieni walimu wapeni haki zao za msingi.
Mama tunakuomba uingilie kati hawa viongozi wanazingua sana. Afsa milonga tunakutegemea tutetee walimu mtupe haki zetu.
Nawasilisha wadau wilaya hii inaupuuzi mwingi.
Acha utoto.Hata Halmashauri ya Wilaya ya Magu tunafanyiwa hayohayo; CWT (W) Magu tusaidieni.