KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Hongera mtani kwa kuvunja rekodi ya duniani....naomba uzitaje usikute zmechambua zile stage za mbege na kusema ni pombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mtani kwa kuvunja rekodi ya duniani....naomba uzitaje usikute zmechambua zile stage za mbege na kusema ni pombe
mbege hainywewi hivyo hata kidogo.njoo rombo ujionee tunavyokunywa kistaarabu.ACHA UDANGANYIFU.Hivi huwezi ona kuwa hili ni tatizo? Ona hawa wanaokunywa mbege kwa staili hii.HAPO KUNA VIBABU NA VIBIBI HAVIJAPIGA MSWAKI VINA MIAKA.Vingine waweza kuta vina ugonjwa wa kifua kikuu.Hapo si kuambukizana maradhi kweli?
![]()
Hapana mtani wametusingizia aiseeHongera mtani kwa kuvunja rekodi ya duniani....
NAKWAMBIA NIKITANDIKA MBEGE YA KICHAGGA MKEO AKIKUTANA NAMI UTAONA ANAFURA TUMBO TUU.NASEMA MBEGE YA KICHAGGA SIO HIZI ZA KICHINA.KARIBU .SISI TUNASEMA RIIAA MBEE !!Ka mangi mdogo kakitandika mbege huyu akikua lazima nguvu za kiume hazitaweza kufanya kazi.
![]()
sasa hapo ccm inaingiaje kwanza hauoni ccm imewapendelea sana nyie hamkupaswa kuitosa ccm hata kidogoCCM na ubaguzi wenu....ila kumbuka ukitoka moshi mjini mpaka Tarakea ni lami....shangaeni tu na propoganda zenu kule bahi hata maji ya kunywa hakuna
mbege hainywewi hivyo hata kidogo.njoo rombo ujionee tunavyokunywa kistaarabu.ACHA UDANGANYIFU.
Aiseee mtani unakataa hata hili....??Hapana mtani wametusingizia aisee
CCM simlishasema wachaga ni chadema ,ndo maana kwa maandiko yako mengi humu ni kuwaponda wachafa tu.....sis hatuna shida na ccm hao ni wanyonyaji ,Rombo tunakunywa mbege ila tuna shule kila kijiji za sekondari,wale maskini pale baha wa ccm ,ambao hata maji hawana kawasaidieni kwanzasasa hapo ccm inaingiaje kwanza hauoni ccm imewapendelea sana nyie hamkupaswa kuitosa ccm hata kidogo
huyu jamaa mpuuzi kweli, yaani ameokota sijui picha kutoka wapi anasema eti ni za rombo, rombo ni kijani tupu, hakuna ukame kama wa kwenye hizo picha zakembege hainywewi hivyo hata kidogo.njoo rombo ujionee tunavyokunywa kistaarabu.ACHA UDANGANYIFU.
huyu jamaa mpuuzi kweli, yaani ameokota sijui picha kutoka wapi anasema eti ni za rombo, rombo ni kijani tupu, hakuna ukame kama wa kwenye hizo picha zake
wala hawapiki mbege kwenye ma tank kama alivoonyesha,
na rombo wapo civilized sana hawanywi mbege kupitia mirija gani sijui hiyo[/QUOTE
Ni kweli.
Huyu ni mpuuzi tu.kalishwa maneno ya chuki dhidi ya warombo katafuta aandike nini.mtu kama huyu twamwita "ilema"
Mbundimbundi ni bia ya bananaNgoja nianze kutaja POMBE ZA KIENYEJI ZILIZOKO ROMBO wengine jazeni
1.KIMORALI
2.MBUNDIMBUNDI
HATA BAA NYINGI MIJINI ZINA MAJINA YA KULEKULE KM ROMBO,MAWENZI,HAINilikutana na mzungu mmoja kanishangaza kaniambia.
Ukisafiri kote duniani Wilaya nyingi huwa na aina mbili au tatu za pombe za kienyeji. Lakini wilaya ya Rombo Mkoa wa Kilimanjaro ina pombe za kienyeji zaidi ya hamsini!
Hivyo kwa mujibu wake kuwa wilaya inayoongoza duniani kote kuwa wilaya yenye aina nyingi za pombe za kienyeji kuliko wilaya yoyote duniani.
Hivi niwapongeze au niwatukane?
![]()
![]()
Dah kumbe wanaanzia mbali eehhKa mangi mdogo kakitandika mbege huyu akikua lazima nguvu za kiume hazitaweza kufanya kazi.
![]()
Pia wewe utazeeka nyambafu!!Hivi huwezi ona kuwa hili ni tatizo? Ona hawa wanaokunywa mbege kwa staili hii.HAPO KUNA VIBABU NA VIBIBI HAVIJAPIGA MSWAKI VINA MIAKA.Vingine waweza kuta vina ugonjwa wa kifua kikuu.Hapo si kuambukizana maradhi kweli?
![]()
Nilikutana na mzungu mmoja kanishangaza kaniambia
Pombe nyingi sana lkn mbona umeitaja gongo tu?Rombo kweli ina pombe nyingi sana hasa za kienyeji na wanasafirisha kupeleka Kenya pia.
Me nimesoma huko baba yangu alikuwa afisa tarafa alipa wakati mgumu sana kukabiliana na tatizo la kumaliza pombe haramu hasa gongo.
Kuna kipindi kuna mama alimfata hadi nyumbani akamwambia yy ni mjane watoto wake wote anawasomesha kwa gongo ikiwemo mwalimu wetu wa chemistry ambapo kamsomesha hadi level ya degree kwa ajili ya biashara hiyo.
Darasa nililokuwa nasoma asilimia kubwa walikuwa wanasomeshwa kwa biashara ya gongo.