Tetesi: Wilaya ya Rombo ni ya kwanza duniani kwa kuwa na aina nyingi za pombe za kienyeji

Tetesi: Wilaya ya Rombo ni ya kwanza duniani kwa kuwa na aina nyingi za pombe za kienyeji

Nilikutana na mzungu mmoja kanishangaza kaniambia.

Ukisafiri kote duniani Wilaya nyingi huwa na aina mbili au tatu za pombe za kienyeji. Lakini wilaya ya Rombo Mkoa wa Kilimanjaro ina pombe za kienyeji zaidi ya hamsini!

Hivyo kwa mujibu wake kuwa wilaya inayoongoza duniani kote kuwa wilaya yenye aina nyingi za pombe za kienyeji kuliko wilaya yoyote duniani.

Hivi niwapongeze au niwatukane?

gin4.jpg


images
mzungu mwongo huyo,amesafiri duniani kote kwa kutumia mda gani labda?? kwanza anafanya shughuli gani?
 
Unajua wilaya inayoongoza kwa kuwa na bar nyingi Tanzania? Wilaya hiyo ni kinondoni na eneo linaloongoza kwa baa nyingi kwa kinondoni ni Sinza na nyingi ni za warombo
Na hao ndio wanaoongoza kwa kulipa kodi!
 
Hivi huwezi ona kuwa hili ni tatizo? Ona hawa wanaokunywa mbege kwa staili hii.HAPO KUNA VIBABU NA VIBIBI HAVIJAPIGA MSWAKI VINA MIAKA.Vingine waweza kuta vina ugonjwa wa kifua kikuu.Hapo si kuambukizana maradhi kweli?


532512_4358284754521_1925628223_n.jpg

Watanzania hatujui vipaumbele vyetu ni nini,hatuna focus kama taifa.Hili limeathiri mpaka mtu mmoja mmoja kama mleta mada.Mambo kama haya yako kwenye jamii nyingi tu hapa nchini hasa vijijini,hii ni kutokana na kukosa elimu na watu kuendelea kuishi maisha ya kale.
mleta mada anatwist uhalisia ili kuinyooshea kidole jamii fulani kutokana na chuki zake binafsi,tuliozunguka sehemu mbalimbali za nchi tunajua haya yapo.
Elimu ndogo aliyonayo mleta mada anaitumia hiyo hiyo kujaribu kupotosha kwa manufaa yake binafsi kisiasa,haitusaidii kama watz.Kama jamii fulani imekikataa chama cha mapinduzi,wana sababu zao na ni haki yao kufanya maamuzi hayo.Chuki hii haiwezi kukusaidia,sana sana utaonekana mpuuzi.
Ungeleta mada yako kitaifa pengine kukawa na sera ya pamoja ya serikali juu ya pombe maana nguvu kazi kubwa ya taifa imekumbwa na janga hilo.
 
Back
Top Bottom