Songwe Yetu
Member
- Nov 22, 2021
- 84
- 99
Nimeoona bandiko moja la askofu kwamba kuna kijana mmoja fundi bodaboda ametekwa na polisi nikashtuka sana na nikajiuliza maswali mengi sana.
Mkuu wa wilaya Mkurugenzi katibu tawala wilaya wote wapo. wawakilishi wa raisi wapo bado watu wanatekwa? Raisi fukuza mkuuu wa wilaya na mkurugenzi kwa kushinda kusimamia na kuwaongoza wananchi.
Mkurugenzi kuna barua ziko kwake zaidi ya wiki tatu hajazisaini na yuko ofisini kazi yake ni kuingia na kutoka na hajui anachokifanya, Yupo yupo tu, kazi yake ni kupigana kalenda.
Mkuu wa wilaya yeye anadhani bado yupo kaole anaigiza kazi yake ni kuwaibia wasukuma mifugo, Ameannzisha vituo ambavyo wafugaji wote watakusanya mifugo yao kisha kujichukulia anavyotaka hawa watu ni wezi