Wilaya ya Tarime ilikuwa mji wa roho mkononi

unaonewa sababu matukio yenu ni ya kijinga sababu kubwa mababu zenu hawakuthamini shule hadi kizazi na kizazi mkarithi.
Ila hakuna baya likakosa uzuri.Uzuri wa watu wa kule sio wanafiki hata kidogo na naweza sema ulinzi wa nchi hii ndio wako kimasomaso mnakumbuka vita ya Kagera.Nyerere aligundua watu wake shule hakuna akawapeleka jeshi mnamkubuka Gen David Musuguri mkuu wa Majeshii,Mnamkumbuka Mwita Ernest Kiaro mkuu wa majeshi,mnakumbuka Brigadier Mike Marwa,Mnamkumbuka George Waitara.
 
Kuna wale walikuaga wanaitwajee wanavamia ukuta wa nyamongo kwenda kuchukua mawe..

Nusu kifo nusu maisha aisee ni noma watu wa badii
 
Niheshimu we popo nimezaa na dada ako mimi, hiyo mitaa kuanzia sabasaba, Nyamisangura na Tulwa primary, Rebu kote huko napajua. Nashukuru sikutoka kapa nikapata na ushemeji.
Ati umezaa na dada yako?! Sasa inanihusu nini mimi kijana wa elfu mbili?
 
Kuna miji ya ajabu sana, badala ya kupambania maendeleo wanapambana wao kwa wao, ndio sababu mkoa wa Mara umechoka sana, mkoa una mbuga, madini, ziwa, mpaka wa Kenya, lakini maendeleo ni zero, huo muda waliokuwa wanatumia kuumizanza wangetumia kujielimisha kusimaia rasilimali za mkoa wangekuwa mbali.


Mara ni mkoa wenye stendi mbovu zaidi nchi nzima, hivi ile stendi ya Bweri ni maegesho ya magari au ? mkoa una mbuga ya Serengeti lakini wazawa wamelala sana hawataki kujielimisha mambo ya tourism mbuga iwanufaishe, wanaonufaika ni watu wa nje, pale Musoma Mjini pamepoa sana, Mkoa mzima hauna hata chuo chochote wala campus ya maana zaidi ya hicho chuo kipya kinachojengwa tangu enzi za Kikwete. Wabunge mnaoweka hawana elimu mpaka serikali imeamua kuingilia kidogo kuwaondoa wabunge wa darasa la saba kuweka wenye degree na masters angalau mkoa uongeze wabunge wenye sifa za kuwa mawaziri.
 
Kinonke sio 2014 mzee ni 2009
Labda ilikiwa kwa mara ya pili ila mie niliingia tarime mwaka 2013 na kinonke akaibuka 2014.kama aliwah kuibuka miaka ya nyuma siwez kubisha maana sikuwepoooooooo
 
sasa huyu pimbi nae vip? Yaani sijui wakurya waliwafanya nini hawa jamaa wa makabila mengine? Yaani mkurya after wema wote alioutenda kwenye hii nchi bado wanamchukia na kumuita mshari! Huyo kinonke mwenyewe alikuwa anaua madon waliomdhulumu vyake! Halafu swala la ujambazi mbona kila sehemu miaka hiyo lilikuwa ni tatizo?
 
Labda ilikiwa kwa mara ya pili ila mie niliingia tarime mwaka 2013 na kinonke akaibuka 2014.kama aliwah kuibuka miaka ya nyuma siwez kubisha maana sikuwepoooooooo
hata mimi nashangaa hii pimbi! Kenonke aliibuka 2014 kipindi hicho niko village!
 
Tuamby kwanza unatoka mkoa gan halafu tuone maendeleo yake
 
Sasa hivi mji umejaa mashoga na wasagaji
 
Sawa sawa , ahsante kwa historia

πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…