ila kuna mijamaa ni mise**e hadi inakera! Sasa wewe unaishi tarime? Umekuja ukakosa duka la muhindi? Au maduka la wahindi ndio ishara ya maendeleo? We jamaa acha kujibu kwa mihemko!Ndio maana kukawa na kanda maalum.Ujinga wa watu wa kule mtu anakuwa mwizi lakini maendeleo hakuna sababu na shule nayo hakuna.
Mtu anakuwa mwizi wa ng'ombe akiwa mzee nguvu zikiisha anakuwa korokoroni
Wezi wa mikoa ya kaskazini akitajirika anafungua duka kubwa au hotel au biashara kubwa kisha anakuwa mzee wa Kanisa.
Mji wa Tarime huwezi kuta duka la Mhindi na mgeni na ndio maana hakuna maendeleo
halafu unaona umejibu pointiiiiii? Mi kinaconishangaza ni wewe kukomalia wilaya ya musoma! Kwahiyo musoma ni mara?Mkuu nimewahi kwenda Mara ni mkoa uliochoka sana, ni mkoa wenye stendi mbovu zaidi nchi nzima, hivi ile stendi ya Bweri ni maegesho ya magari au ? mkoa una mbuga ya Serengeti lakini wazawa wamelala sana hawataki kujielimisha mambo ya tourism mbuga iwanufaishe, wanaonufaika ni watu wa nje, pale Musoma Mjini pamepoa sana, Mkoa mzima hauna hata chuo chochote wala campus ya maana zaidi ya hicho chuo kipya kinachojengwa tangu enzi za Kikwete. Wabunge mnaoweka hawana elimu mpaka serikali imeamua kuingilia kidogo kuwaondoa wabunge wa darasa la saba kuweka wenye degree na masters angalau mkoa uongeze wabunge wenye sifa za kuwa mawaziri.
Halafu Tarime yetu leo iko kama London,watu wameelimika wako busy kupambania maendeleo.A
Arusha na dar es salaaam kuna matukio ya ajabu sana na ya kikatili mno ila sijui kwa nin tarime ndo inaonewa zaidi🤔🤔🤣
Ndugu zako wachaga wamejaa sana hapo tarime kwa taarifa yako.Ndio maana kukawa na kanda maalum.Ujinga wa watu wa kule mtu anakuwa mwizi lakini maendeleo hakuna sababu na shule nayo hakuna.
Mtu anakuwa mwizi wa ng'ombe akiwa mzee nguvu zikiisha anakuwa korokoroni
Wezi wa mikoa ya kaskazini akitajirika anafungua duka kubwa au hotel au biashara kubwa kisha anakuwa mzee wa Kanisa.
Mji wa Tarime huwezi kuta duka la Mhindi na mgeni na ndio maana hakuna maendeleo
Tulia dawa ikuingie sikioni ukweli upo pale pale tabia zenusasa huyu pimbi nae vip? Yaani sijui wakurya waliwafanya nini hawa jamaa wa makabila mengine? Yaani mkurya after wema wote alioutenda kwenye hii nchi bado wanamchukia na kumuita mshari! Huyo kinonke mwenyewe alikuwa anaua madon waliomdhulumu vyake! Halafu swala la ujambazi mbona kila sehemu miaka hiyo lilikuwa ni tatizo?
mimi kinachonishangaza ni hawa watu kudai eti hatujaendelea! Eti miundombinu yetu ni mibovu! Sasa hili ni jukumu letu kweli? Yaani tunalipa kodi ya nini?Tulia dawa ikuingie sikioni ukweli upo pale pale tabia zenu
Hamchukiwi hata kidogo.Kwanza mnastahili maua yenu sana nchi hii bila nyie tungeonewa sana.Unaona Heche alivyonyooka nyie hamna unafiki.Mkurya kama hakupendi hawezi kukusema pembeni anakupasulia ukijirekebisha unarudi kuwa rafiki.
Mkurya akikuambia wewe ni rafiki yangu huo ndio ukweli.
Mkurya mkaribishe kwako mpikie nyama hata kilo kumi ale siku kumi hawezi kukuthamini.Wewe mchinjie kuku tu aone umemwaga damu ataona umemthamini sana.
Infact nyinyi ni majasiri nawapenda mno.
Nichukue mfano machimbo ya Nyamongo wanajisikia vibaya wageni kuja kuchimba madini ardhi yao yaani wazungu.Wanaona liwalo na liwe nao angalau wachukue mchanga wachenjue huo ni uzalendo.
Wanaume walikuwa hawaangalii game za uefa , saa 12 jioni watu wapo ndani, naimani hata mambo ya kuchepuka yalipungua kipindi kile. Aisee kweli Dunia ilikuwa na wababe.Mwaka 2014 aliibuka KINONKE
sasa huyu warthog alievuta bangi anaongea nini?Fita ni fita muraa hatakama ni katoto,
Piga kimo cha mbusi musensi alale chini tupite.
lakini hakuua mtu wa kawaida isipokuwa madon waliomdhulumu vyake! Alafu kuna tukio alilifanya lile la kumuua mwassy(moja ya madon) ndani ya gari lake mchana kweupeeee!Wanaume walikuwa hawaangalii game za uefa , saa 12 jioni watu wapo ndani, naimani hata mambo ya kuchepuka yalipungua kipindi kile. Aisee kweli Dunia ilikuwa na wababe.
Stori za kwa nini alikuwa akifanya hivyo ni nyingi sana ila ambayo inasemwa semwa na wengi ni kwamba alicheza dili fulan na ma babylon wa tarime ambalo hilo dili lilipelekea yeye akamatwe na kufungwa ila hao mababilon wakamuahidi,kuwa asiwe na wasi wasi aende jela atumikie kifungo then watapigana wamtoe but pia watajenga nyumba ya mama yake ambayo ilikiwa ni mbavu za mbwa tu.mwamba akakubali kufungwa ila alipoingia hawakutimiza ahadi,hawakumtoa jela lakin cha zaidi hawakumsaidia mzazi wake kuweka maisha yake sawa ikiwemo hilo la kumjengea,kifungo kilipoisha mwamba alitoka akakuta jamaa ni mabilionea na wanakula maisha na hawana habari na makubaliano waliyoingia,akawafata na kuwataka wampe mzig
Huyu wa 2014 hakudumu. Alikuwepo wa 2009/2010 huyu ndiye alisumbua ile mbaya. Alitikisa mji mzima.Inasemekana walimuua watu wa mifumo.alikamatwa mkoani tanga akijaribu kutoroka then wakamleta had tarime wakamdunga "mambo fulani" akakata moto
Dhahabu serikali imempa mwekezaji wa kigeniKuna miji ya ajabu sana, badala ya kupambania maendeleo wanapambana wao kwa wao, ndio sababu mkoa wa Mara umechoka sana, mkoa una mbuga, madini, ziwa, mpaka wa Kenya, lakini maendeleo ni zero, huo muda waliokuwa wanatumia kuumizanza wangetumia kujielimisha kusimaia rasilimali za mkoa wangekuwa mbali.
Huenda ukawa sahihi. Lakini hakuishia kuua hao waliomsaliti pekee. Alikuwa anaua yeyote wanayekutana kwenye mazingira haatarishi. Kifupi jamaa alikunywa damu nyingi sana. Ni watu wengi walikufaStori za kwa nini alikuwa akifanya hivyo ni nyingi sana ila ambayo inasemwa semwa na wengi ni kwamba alicheza dili fulan na ma babylon wa tarime ambalo hilo dili lilipelekea yeye akamatwe na kufungwa ila hao mababilon wakamuahidi,kuwa asiwe na wasi wasi aende jela atumikie kifungo then watapigana wamtoe but pia watajenga nyumba ya mama yake ambayo ilikiwa ni mbavu za mbwa tu.mwamba akakubali kufungwa ila alipoingia hawakutimiza ahadi,hawakumtoa jela lakin cha zaidi hawakumsaidia mzazi wake kuweka maisha yake sawa ikiwemo hilo la kumjengea,kifungo kilipoisha mwamba alitoka akakuta jamaa ni mabilionea na wanakula maisha na hawana habari na makubaliano waliyoingia,akawafata na kuwataka wampe mzigo kidogo wakiokubaliana na kuhakikisha wanamfanyia bi mkubwa wake yale waliyopatana,mababilon wakaona kama mwamba hana mwelekeo na hana raman wakawa wanamzungusha zungusha bas akaweka kinyongo akaua wote ambao kwa namna moja au nyingine walikuwepo kwenye ile chain ya lile dili.inasemakana mmoja wao ni yule mfanyabiashara mwenye hotel iliyo mbele ya blue sky(nimeisahau jina) ,hotel hii kwa sasa inamilikiwa na mke wa marehemu na wameifanyia marekebisho makubwa tu.in short jamaa aliuwa kat ya watu 8 jad 13 ambao alikuwa na visasi nao aidha katika hyi dili niliyosema au visasi vingine amavyojua yeye
Alimuuwaje risasi au kisu?lakini hakuua mtu wa kawaida isipokuwa madon waliomdhulumu vyake! Alafu kuna tukio alilifanya lile la kumuua mwassy(moja ya madon) ndani ya gari lake mchana kweupeeee!
Ona Mwehu huyu naye sijui kaibukia wapi?2010 kurudi nyuma tarime ilikuwa uwanja wa vita.
Sio majambazi,
Sio vita vya koo,
Sio vikundi vya magenge,
Sio vikundi vya wizi wa ng'ombe,
Sio matukio ya kuachiana hospitali au mochwari.
Kuna serial killers walioibuka wakati tofauti, wakawa wanakawa wanatembea na bunduki na wanakuuliza hiki ni nini? Ukisema bunduki, basi akafyatua risasi. Walifanikiwa kuuliwa baada ya kuuwa watu wengi
Kuna wakati ule mji kila aliekuwa anaibuka na vipesa kidogo lazima waje wamteke nyumbani, ilikuwa haipiti miezi kadhaa kusikika sauti za risasi na vilio vya "UWIIIIIIIIII" vya wakina mama kuwa wamevamiwa.
Hii ilijenga watu kuwa na roho kuntu, sio wakina baba au wakina mama, vijana walikuwa tayari kupigwa risasi waingie mgodoni wafukue mabaki ya dhahabu kwenye udongo na kama ulipata chochote kitu na hawakujui katika circle yao lazima waibuke na wewe.
Vijana walikuwa tayari kufa kuvuka boda kwenda kupiga matukio kenya au ku-deal na mazaga zaga.
Koo zilipigana sana, watu walikatana mapanga utafikiri nyama za buchani, kuna wakati ITV walirusha habari jamaaa alikuwa amepigwa mshale wa tako na anapelekwa hospitali.
wanawake walipigwa na wanaume zao na kubaki na makovu, watu kadhaa walioonekana kama ni ma-spy waliuliwa katika mji ule.
Tarime was tarime, then. Nina uhakika wakazi wa tarime walio in 30s+ watakubaliana na maandishi haya.
alikuwa anamiliki bunduki!Alimuuwaje risasi au kisu?