Wilaya ya Tarime ilikuwa mji wa roho mkononi

ila kuna mijamaa ni mise**e hadi inakera! Sasa wewe unaishi tarime? Umekuja ukakosa duka la muhindi? Au maduka la wahindi ndio ishara ya maendeleo? We jamaa acha kujibu kwa mihemko!
 
halafu unaona umejibu pointiiiiii? Mi kinaconishangaza ni wewe kukomalia wilaya ya musoma! Kwahiyo musoma ni mara?
 
Fita ni fita muraa hatakama ni katoto,
Piga kimo cha mbusi musensi alale chini tupite.
 
A

Arusha na dar es salaaam kuna matukio ya ajabu sana na ya kikatili mno ila sijui kwa nin tarime ndo inaonewa zaidiπŸ€”πŸ€”πŸ€£
Halafu Tarime yetu leo iko kama London,watu wameelimika wako busy kupambania maendeleo.
 
Ndugu zako wachaga wamejaa sana hapo tarime kwa taarifa yako.
 
Tulia dawa ikuingie sikioni ukweli upo pale pale tabia zenu
Hamchukiwi hata kidogo.Kwanza mnastahili maua yenu sana nchi hii bila nyie tungeonewa sana.Unaona Heche alivyonyooka nyie hamna unafiki.Mkurya kama hakupendi hawezi kukusema pembeni anakupasulia ukijirekebisha unarudi kuwa rafiki.
Mkurya akikuambia wewe ni rafiki yangu huo ndio ukweli.
Mkurya mkaribishe kwako mpikie nyama hata kilo kumi ale siku kumi hawezi kukuthamini.Wewe mchinjie kuku tu aone umemwaga damu ataona umemthamini sana.
Infact nyinyi ni majasiri nawapenda mno.
Nichukue mfano machimbo ya Nyamongo wanajisikia vibaya wageni kuja kuchimba madini ardhi yao yaani wazungu.Wanaona liwalo na liwe nao angalau wachukue mchanga wachenjue huo ni uzalendo.
 
mimi kinachonishangaza ni hawa watu kudai eti hatujaendelea! Eti miundombinu yetu ni mibovu! Sasa hili ni jukumu letu kweli? Yaani tunalipa kodi ya nini?
 
Mwaka 2014 aliibuka KINONKE
Wanaume walikuwa hawaangalii game za uefa , saa 12 jioni watu wapo ndani, naimani hata mambo ya kuchepuka yalipungua kipindi kile. Aisee kweli Dunia ilikuwa na wababe.
 
Wanaume walikuwa hawaangalii game za uefa , saa 12 jioni watu wapo ndani, naimani hata mambo ya kuchepuka yalipungua kipindi kile. Aisee kweli Dunia ilikuwa na wababe.
lakini hakuua mtu wa kawaida isipokuwa madon waliomdhulumu vyake! Alafu kuna tukio alilifanya lile la kumuua mwassy(moja ya madon) ndani ya gari lake mchana kweupeeee!
 
Hiyo HOTEL inaitwa MWASSY HOTEL kulingana na jina la mwenye hotel hiyo ambae aliuawa ndani ya gari!
 
Inasemekana walimuua watu wa mifumo.alikamatwa mkoani tanga akijaribu kutoroka then wakamleta had tarime wakamdunga "mambo fulani" akakata moto
Huyu wa 2014 hakudumu. Alikuwepo wa 2009/2010 huyu ndiye alisumbua ile mbaya. Alitikisa mji mzima.
 
Dhahabu serikali imempa mwekezaji wa kigeni
Mbuga ya serengeti wala hata mapato yake hayapangiwi mkoa wa Mara, makao makuu ni Arusha
Mpaka wa sirari ukiachana na TRA hata biashara za upande wa Tz zimedoda kwasababu hakuna ule uchangamfu wa mji. Hii ni kutokana na aina ya uendelezaji wa maeneo ya kimkakati unaofanywa na serikali. Wanamkomoa Heche kwasababu ndio kwao.

La mwisho ila sio la muhimu. Mkoa wa Mara ulinyimwa elimu bora kwa kuwa na shule chache sana enzi hizo na wazazi kutoipa umuhimu. Siku hizi imebaki mabinti kuolewa. Yani huko mtu akijisikia kuacha shule anaacha na hakuna kitu atafanywa yeye ama mzazi wake. Lakini pia mkoa wa Mara ni miongoni mwa mikoa yenye vyuo vya kati vya kuhesabu. Nazungumzia vyuo vya kueleweka na sio vyuo vya cherehani. Sasa kwenye wilaya ya Tarime eneo ambalo kidogo limeanza kukua kwa kasi ni Nyamongo
 
Huenda ukawa sahihi. Lakini hakuishia kuua hao waliomsaliti pekee. Alikuwa anaua yeyote wanayekutana kwenye mazingira haatarishi. Kifupi jamaa alikunywa damu nyingi sana. Ni watu wengi walikufa
 
Ona Mwehu huyu naye sijui kaibukia wapi?

ACHA UONGO!

Vita vya Koo!?,Koo zipi zilizokuwa zikipigana na zilikuwa zinapigana kisa Nini!?

Eti majambazi,hebu wataje hata wawili hao majambazi unao wafahamu ambao walikuwa wanawasumbua wakazi wa Tarime!

Taja genge angalau moja ambalo unalijua lililokuwa tishio hapo Tarime!

Taja kikundi kimoja unachokifahamu ambacho kilikuwa tishio kwenye wizi wa Ng'ombe!


Mnakaaga na wajinga wenzio mnaanza kuisema Tarime kana kwamba ni sehemu isiyofaa hapa Tanzania,kumbe Tarime ni mji mzuri na watu wake ni watu wema!

Sisi wakurya ni watu wenye Misimamo ambao hatununuliki,hatutishwi na kiumbe yeyote,Hatuna njaa za Kijinga,Hatuogopi kiumbe yeyote mwenye Matako,******,Maqu na mboo!

Wewe ELI COHEN hebu njoo uueleze Umma wa JF hizi stori Uchwara umezisikia wapi?

Kila siku mnasema Tarime (Hasa Wakurya) ni watu wabaya,mkiulizwa ubaya wake ni Nini hasa mnabaki kupiga blah blah tu na stori za Vijiweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…