- Thread starter
- #21
hiyari wapi waalimu wanaambiwa wanunue kwa ma AekHakuna anaelazimishwa usiichafue serikali,huo mchango ni hiari na endapo waalimu watatoa Kwa hiari Yao na si lazima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyari wapi waalimu wanaambiwa wanunue kwa ma AekHakuna anaelazimishwa usiichafue serikali,huo mchango ni hiari na endapo waalimu watatoa Kwa hiari Yao na si lazima
walimu wasilazimishwe wanunue kwa haiari yaoYaani unamchongea ngedere Kwa nyani!?we kwei hamnazo!
Wewe umeandika sahihi kabisa.Sio walimu tu urambo Tabora wafanyakazi wote wa serikali ni lazima kuchangia plus maduka nayo yana mchango wa mwenge
hawaelewiWewe umeandika sahihi kabisa.
Michango ya Mwenge wa Uhuru imekuwa ni kwa kila Mfanyakazi wa Halmashauri husika pamoja na Wafanyabiashara sio Walimu peke yao.
Kwahiyo ili kuondoa hiyo kadhia ni kuuweka Mwenge wa Uhuru kule Makumbusho ya Taifa.
Maana madhumuni ya Mwenge wa Uhuru yalishatimizwa mwaka 1961 wakati Marehemu Nyirenda anaupandisha Mlima Kilimanjaro kwa niaba ya Serikali.
Sasa imepita miaka 62 bado Mwenge unakimbizwa.
Hayo ni matumizi mabaya ya Rasilimali fedha na muda
Wanahisi Walimu pekee ndiyo wanachangia hiyo Michango, kumbe hata ukiwa unamiliki Guest House unatakiwa kuchangia sawa sawa na mfanyabiashara mwinginehawaelewi
Hili Kama ningekuwa mwalimu nisingesubiria serikali iingilie Kati mwenyewe Ningemalizana na hao ded mkurugenzi na uchafu wowote njiani.Wilaya ya Uyui inalazimisha waalimu kuchangia michango ya Mwenge na Mwalimu asiyechangia wanamuwajibisha. Pia, imesisitiza Walimu na Wanafunzi kuwepo shuleni kipindi chote cha mpumziko mafupi kwa ajili ya mapokezi ya Mwenge.
Pia, Mkurugnzi kanunua vitenge vyake na amevisambaza kwa Waratibu elimu Kata. Kila mwalimu anunue na ashone kwa ajili ya kuvaaa sare wakati wa Mwenge na ni lazima Walimu wengi wametishwa na wamenunua.
DED anatumia cheo chake kwa maslahi yake amewatumia waraka WARATIBU, MWALIMU MKUU, NA WAKUU SHULE KUTO VITISHO KWA AJILI YA KUWALAZIMISHA WAALIMU WANAO WAONGOZA.
Serikali ingilieni kati kwa DED huyu anaichonganisha serikali na watumishi, pia ameshindwa kuheshimu mihula iliotolewa na tamisemi na wizara ya elimu
vitenge vya mkurugenzi hivyo vinapigiwa promo