DOKEZO Wilaya ya Uyui inalazimisha Walimu kuchangia michango ya Mwenge

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sio walimu tu urambo Tabora wafanyakazi wote wa serikali ni lazima kuchangia plus maduka nayo yana mchango wa mwenge
Wewe umeandika sahihi kabisa.

Michango ya Mwenge wa Uhuru imekuwa ni kwa kila Mfanyakazi wa Halmashauri husika pamoja na Wafanyabiashara sio Walimu peke yao.

Kwahiyo ili kuondoa hiyo kadhia ni kuuweka Mwenge wa Uhuru kule Makumbusho ya Taifa.

Maana madhumuni ya Mwenge wa Uhuru yalishatimizwa mwaka 1961 wakati Marehemu Nyirenda anaupandisha Mlima Kilimanjaro kwa niaba ya Serikali.

Sasa imepita miaka 62 bado Mwenge unakimbizwa.

Hayo ni matumizi mabaya ya Rasilimali fedha na muda
 
hawaelewi
 
Arusha hapa shule ya msingi mkombozi mwanafunzi akikosa ela ya mkakati au ela ya chakula anachapwa,sasa sijui wizara ya elimu ili jambo wanalijua au la
 
Hili Kama ningekuwa mwalimu nisingesubiria serikali iingilie Kati mwenyewe Ningemalizana na hao ded mkurugenzi na uchafu wowote njiani.

Nikiwa advance niligoma kununua tisheti ya alfu nne na materials Ni lowa quality. Nilimjibu Mwalimu kuwa miradi mingine inakuwa Ni Yas shule Ila Sasa inawekewa sheria ya kulazimishana.
Hata hii 2% ya walimu mie ningekataa niambiwe nafadikaje, mfano nssf mbona wabunge hawawekewi ama wao haawatakuja kuwa wazee ,Ni sawa na hizi Bandari kuwa za ZANZIBAR wao hawataki kunufaiika na dipii wedi kweli ama siee ndio tumependelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…