castieltsar
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,528
- 2,723
kiongozi napajua vizuri huko milimani nimepanda sana ila ingependeza wenye mji wao wajitete maaana tuhuma zimekuja direct kwanini tambarare wamepaacha wamefata milimaMkuu umefika usangi na ugweno?
Kuna mji wowote umechangamka huko ndani ndani? Utaje.Unafikiri same na mwanga ni hapo barabarani kwenye lami?
Maji na ardhi nzuri yenye rutubakiongozi napajua vizuri huko milimani nimepanda sana ila ingependeza wenye mji wao wajitete maaana tuhuma zimekuja direct kwanini tambarare wamepaacha wamefata milima
ukiachana na hayo ila guts zao ndo kwisha kazi na bado lami imepanda kule hapo ndo naelewa ushawishi wao sio mchezoMaji na ardhi nzuri yenye rutuba
Cleopa msuya mkuuukiachana na hayo ila guts zao ndo kwisha kazi na bado lami imepanda kule hapo ndo naelewa ushawishi wao sio mchezo
Uchangamfu unaupimaje. Same na mwanga ni stand tu, makazi na shughuli za uzalishaji zipo milimani huko. Hapo tambarare utakutana na wafanyabiashara mbalimbali ambao wote wanatokea milimani huko.Kuna mji wowote umechangamka huko ndani ndani? Utaje.
Ndio maana nikauliza kuna mji wowote huko ndani ambako kumechangamka zaidi ya main road? Nishabahatika kufika ndani ndani huko lkn sio sehemu zote.Uchangamfu unaupimaje. Same na mwanga ni stand tu, makazi na shughuli za uzalishaji zipo milimani huko. Hapo tambarare utakutana na wafanyabiashara mbalimbali ambao wote wanatokea milimani huko.
Ukiona Mangi wafupi ujue ni mchanganyiko na wapare wa Kahe😃Hayo maneno tu🤣🤣🤣 na huu ufupi wangu nasimama na mangi wengi tu tunaendana, kwa hiyo hata nyie mangi wafupi tu🤣
Wapare wa Kahe, Wagweno na wachagga wote ni wale wale tu.🤣 siku hizi wachagga wafupi sana...Ukiona Mangi wafupi ujue ni mchanganyiko na wapare wa Kahe😃
Bora mshukuru tuliwapa wagweno mkuu🤣Hayo maneno tu🤣🤣🤣 na huu ufupi wangu nasimama na mangi wengi tu tunaendana, kwa hiyo hata nyie mangi wafupi tu🤣
Wachaga wafupi ujue wamechanganya sana.Wapare wa Kahe, Wagweno na wachagga wote ni wale wale tu.🤣 siku hizi wachagga wafupi sana...
Kuna Mpare mmoja hivi namjua anasemaga yeye ni Mchagga hataki kusikia neno Mpare🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wapare wa Kahe, Wagweno na wachagga wote ni wale wale tu.🤣 siku hizi wachagga wafupi sana...
Mnaanza kujitetea sasa🤣🤣🤣Wachaga wafupi ujue wamechanganya sana.