Wilaya za Same na Mwanga zimeathiriwa na ubahili

Wilaya za Same na Mwanga zimeathiriwa na ubahili

Mkuu umefika usangi na ugweno?
kiongozi napajua vizuri huko milimani nimepanda sana ila ingependeza wenye mji wao wajitete maaana tuhuma zimekuja direct kwanini tambarare wamepaacha wamefata milima
 
kiongozi napajua vizuri huko milimani nimepanda sana ila ingependeza wenye mji wao wajitete maaana tuhuma zimekuja direct kwanini tambarare wamepaacha wamefata milima
Maji na ardhi nzuri yenye rutuba
 
Uchangamfu unaupimaje. Same na mwanga ni stand tu, makazi na shughuli za uzalishaji zipo milimani huko. Hapo tambarare utakutana na wafanyabiashara mbalimbali ambao wote wanatokea milimani huko.
Ndio maana nikauliza kuna mji wowote huko ndani ambako kumechangamka zaidi ya main road? Nishabahatika kufika ndani ndani huko lkn sio sehemu zote.
 
Wapare na wasambaa walielewa vibaya ule msemo wa kidini wa kujenga juu ya mwamba. Ukipita tu Mombo kuelekea Arusha utakuta wamejenga juu kabisa mlimani yaani hapafikiki.
 
Wapare wa Kahe, Wagweno na wachagga wote ni wale wale tu.🤣 siku hizi wachagga wafupi sana...
Kuna Mpare mmoja hivi namjua anasemaga yeye ni Mchagga hataki kusikia neno Mpare🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom