Pre GE2025 Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA, asema taifa linamhitaji Lissu kwa sasa

Pre GE2025 Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA, asema taifa linamhitaji Lissu kwa sasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..sio kila wakati anatafuta fursa.

..Dr.Slaa anaujua uwezo wa Mbowe, na wa Lissu, kuweza kutoa maoni nani anafaa kuongoza Chadema.
Anayefaa kuongoza ni TAL

Slaa na mbowe wanabidi kushitakiwa Kwa kutumika kuanzisha fake struggle ambazo zilipelekea vijana kupata ulemavu na wengine kuuliwa.

Mawazo , Ben saanane n.k

Kiufupi mwambie akae pembeni kwanza
 
..Dr.Slaa alifanya kazi kubwa sana kuijenga Chadema kati ya 2010 na 2015.

..hao uliowataja wameuwawa na CCM / dola sio sahihi kumshutumu Dr.Slaa, au Mbowe.
 
Wakuu,

Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti CHADEMA.

Asema CHADEMA na Watanzania wanamhitaji Lissu katika kipindi hiki, akiwa ni kiongozi bora na mwenye msimamo.

Mambo yanazidi kuwa moto.
Mbowe ni jibamizi
 
Maigizo bado yanaendelea

dr slaa akae alee wajukuu zake, kama ktk siasa hana jipya, alishawahi kugombea hadi urais
TL naye hana jipya.
 
..Dr.Slaa anawajua vizuri sana Mbowe na Lissu.

..chochote atakachosema kuhusu hao wawili tukisikilize kwa umakini.
Kwani ameacha kuwa Dokta Mihogo siku hizi? Ahahahahaha! Nyie vijana wa Chadema kweli ni nyumbu!
 
Maigizo bado yanaendelea

dr slaa akae alee wajukuu zake, kama ktk siasa hana jipya, alishawahi kugombea hadi urais
TL naye hana jipya.
mbona mbowe nae uraisi aligombea je aliupata?vp kuhusu yeye kukaa pembeni pia
 
Maigizo bado yanaendelea

dr slaa akae alee wajukuu zake, kama ktk siasa hana jipya, alishawahi kugombea hadi urais
TL naye hana jipya.
Mbowe pia aliwahi gombea hadi uraisi 2005.
Sijui kuna hoja ipi utamtetea asikae pembeni na yeye.
Kati yao wote Mbowe alipata kura kidogo sana dhidi ya CCM.
 
Wakuu,

Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti CHADEMA.

Asema CHADEMA na Watanzania wanamhitaji Lissu katika kipindi hiki, akiwa ni kiongozi bora na mwenye msimamo.

Mambo yanazidi kuwa moto.
Yeye Slaa mbona hana msimamo? Au anafikiri ya Sheraton alvyowekwa mfukoni na Mwakyembe watu wamesahau?
 
Slaa ndio alimshawish na siku nyingi haelewani na Mbowe..

Dr Slaa kapata Back up na amekuwa relevant kwa season hii..

Ikiisha ataendelea na jukwaa la SyW
Angemuungaje mkono Mbowe aliyemhujumu 2015?
Slaa anajua fika kuwa Mbowe alipokea pesa kwa Lowassa ili agombee cdm
 
Mbowe pia aliwahi gombea hadi uraisi 2005.
Sijui kuna hoja ipi utamtetea asikae pembeni na yeye.
Kati yao wote Mbowe alipata kura kidogo sana dhidi ya CCM.
Alipata kura 600,000 tu
 
Back
Top Bottom