Pre GE2025 Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA, asema taifa linamhitaji Lissu kwa sasa

Pre GE2025 Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA, asema taifa linamhitaji Lissu kwa sasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti CHADEMA.

Asema CHADEMA na Watanzania wanamhitaji Lissu katika kipindi hiki, akiwa ni kiongozi bora na mwenye msimamo.

Mambo yanazidi kuwa moto.
Slaa sio mwana CDM.
 
Maigizo bado yanaendelea

dr slaa akae alee wajukuu zake, kama ktk siasa hana jipya, alishawahi kugombea hadi urais
TL naye hana jipya.
Na Tapeli mkuu Freeman amegombea Urais Mara ngapi?
Huyo ndo analo jipya?
 
..Dr.Slaa anawajua vizuri sana Mbowe na Lissu.

..chochote atakachosema kuhusu hao wawili tukisikilize kwa umakini.
Lissu kufungwa mkono na watu wanaochukuliwa kama 'waasi' wa Chadema imekaaje ? Au ni sawa tu maadamu Mbowe anaungwa mkono na Pro- Ccm ?
 
HIi sasa ni kuwa desparate, hadi Slaa anaweza kutoa endorsement kwa Lisu na akashangiliwa?
 
Huyo Slaa alishapitwa na wakati akae pembeni yeye pamoja na Lissu wake hawawezi kumshinda Mwamba !!!
 
Back
Top Bottom