Slaa ndio alimshawish na siku nyingi haelewani na Mbowe..
Dr Slaa kapata Back up na amekuwa relevant kwa season hii..
Ikiisha ataendelea na jukwaa la SyW
Huyo slaa ni msaka fursa..Dr.Slaa anawajua vizuri sana Mbowe na Lissu.
..chochote atakachosema kuhusu hao wawili tukisikilize kwa umakini.
Nani ambae si msaka fursa kwenye siasa?Huyo slaa ni msaka fursa
Huyo slaa ni msaka fursa
Anayefaa kuongoza ni TAL..sio kila wakati anatafuta fursa.
..Dr.Slaa anaujua uwezo wa Mbowe, na wa Lissu, kuweza kutoa maoni nani anafaa kuongoza Chadema.
Anayefaa kuongoza ni TAL
Slaa na mbowe wanabidi kushitakiwa Kwa kutumika kuanzisha fake struggle ambazo zilipelekea vijana kupata ulemavu na wengine kuuliwa.
Mawazo , Ben saanane n.k
Kiufupi mwambie akae pembeni kwanza
Mbowe ni jibamiziWakuu,
Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti CHADEMA.
Asema CHADEMA na Watanzania wanamhitaji Lissu katika kipindi hiki, akiwa ni kiongozi bora na mwenye msimamo.
Mambo yanazidi kuwa moto.
Kwani ameacha kuwa Dokta Mihogo siku hizi? Ahahahahaha! Nyie vijana wa Chadema kweli ni nyumbu!..Dr.Slaa anawajua vizuri sana Mbowe na Lissu.
..chochote atakachosema kuhusu hao wawili tukisikilize kwa umakini.
Kwani ameacha kuwa Dokta Mihogo siku hizi? Ahahahahaha! Nyie vijana wa Chadema kweli ni nyumbu!
Ahahahahaha!!!..hata saa mbovu kuna wakati husoma majira sahihi.😀
mbona mbowe nae uraisi aligombea je aliupata?vp kuhusu yeye kukaa pembeni piaMaigizo bado yanaendelea
dr slaa akae alee wajukuu zake, kama ktk siasa hana jipya, alishawahi kugombea hadi urais
TL naye hana jipya.
Mbowe pia aliwahi gombea hadi uraisi 2005.Maigizo bado yanaendelea
dr slaa akae alee wajukuu zake, kama ktk siasa hana jipya, alishawahi kugombea hadi urais
TL naye hana jipya.
Yeye Slaa mbona hana msimamo? Au anafikiri ya Sheraton alvyowekwa mfukoni na Mwakyembe watu wamesahau?Wakuu,
Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti CHADEMA.
Asema CHADEMA na Watanzania wanamhitaji Lissu katika kipindi hiki, akiwa ni kiongozi bora na mwenye msimamo.
Mambo yanazidi kuwa moto.
Angemuungaje mkono Mbowe aliyemhujumu 2015?Slaa ndio alimshawish na siku nyingi haelewani na Mbowe..
Dr Slaa kapata Back up na amekuwa relevant kwa season hii..
Ikiisha ataendelea na jukwaa la SyW
Alipata kura 600,000 tuMbowe pia aliwahi gombea hadi uraisi 2005.
Sijui kuna hoja ipi utamtetea asikae pembeni na yeye.
Kati yao wote Mbowe alipata kura kidogo sana dhidi ya CCM.