F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 16,427 Reaction score 22,418 Dec 24, 2024 #21 Cute Wife said: Wakuu, Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti CHADEMA. Asema CHADEMA na Watanzania wanamhitaji Lissu katika kipindi hiki, akiwa ni kiongozi bora na mwenye msimamo. Mambo yanazidi kuwa moto. Click to expand... Slaa sio mwana CDM.
Cute Wife said: Wakuu, Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti CHADEMA. Asema CHADEMA na Watanzania wanamhitaji Lissu katika kipindi hiki, akiwa ni kiongozi bora na mwenye msimamo. Mambo yanazidi kuwa moto. Click to expand... Slaa sio mwana CDM.
Love Nuru JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 758 Reaction score 1,194 Dec 24, 2024 #22 Angada said: Maigizo bado yanaendelea dr slaa akae alee wajukuu zake, kama ktk siasa hana jipya, alishawahi kugombea hadi urais TL naye hana jipya. Click to expand... Mbowe hajawahi kugombea urais?
Angada said: Maigizo bado yanaendelea dr slaa akae alee wajukuu zake, kama ktk siasa hana jipya, alishawahi kugombea hadi urais TL naye hana jipya. Click to expand... Mbowe hajawahi kugombea urais?
L Liky JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 431 Reaction score 255 Dec 24, 2024 #23 Angada said: Maigizo bado yanaendelea dr slaa akae alee wajukuu zake, kama ktk siasa hana jipya, alishawahi kugombea hadi urais TL naye hana jipya. Click to expand... Na Tapeli mkuu Freeman amegombea Urais Mara ngapi? Huyo ndo analo jipya?
Angada said: Maigizo bado yanaendelea dr slaa akae alee wajukuu zake, kama ktk siasa hana jipya, alishawahi kugombea hadi urais TL naye hana jipya. Click to expand... Na Tapeli mkuu Freeman amegombea Urais Mara ngapi? Huyo ndo analo jipya?
Kanali_ JF-Expert Member Joined Nov 18, 2018 Posts 6,438 Reaction score 10,180 Dec 24, 2024 #24 RMC said: Yeye Slaa mbona hana msimamo? Au anafikiri ya Sheraton alvyowekwa mfukoni na Mwakyembe watu wamesahau? Click to expand... Kama Mbowe alivyowekwa mfukoni na sa100?
RMC said: Yeye Slaa mbona hana msimamo? Au anafikiri ya Sheraton alvyowekwa mfukoni na Mwakyembe watu wamesahau? Click to expand... Kama Mbowe alivyowekwa mfukoni na sa100?
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Dec 24, 2024 #25 JokaKuu said: ..Dr.Slaa anawajua vizuri sana Mbowe na Lissu. ..chochote atakachosema kuhusu hao wawili tukisikilize kwa umakini. Click to expand... Lissu kufungwa mkono na watu wanaochukuliwa kama 'waasi' wa Chadema imekaaje ? Au ni sawa tu maadamu Mbowe anaungwa mkono na Pro- Ccm ?
JokaKuu said: ..Dr.Slaa anawajua vizuri sana Mbowe na Lissu. ..chochote atakachosema kuhusu hao wawili tukisikilize kwa umakini. Click to expand... Lissu kufungwa mkono na watu wanaochukuliwa kama 'waasi' wa Chadema imekaaje ? Au ni sawa tu maadamu Mbowe anaungwa mkono na Pro- Ccm ?
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 10,856 Reaction score 14,607 Dec 24, 2024 #26 HIi sasa ni kuwa desparate, hadi Slaa anaweza kutoa endorsement kwa Lisu na akashangiliwa?
B Benderea JF-Expert Member Joined May 25, 2021 Posts 686 Reaction score 1,303 Dec 24, 2024 #27 Huyo Slaa alishapitwa na wakati akae pembeni yeye pamoja na Lissu wake hawawezi kumshinda Mwamba !!!