Cha ajabu zaidi Mgombea leo anahutubia huko Arusha anasema ataachia Ngazi 2030! Kwahiyo ameshajihakikishia Ushindi mwaka huu! Kumbe ni kweli uchaguzi wetu ni wa kiini Macho?!Mgombea alitoa jina lake na la mgombea mwenza.
.NO REFORM NO ELECTION!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha ajabu zaidi Mgombea leo anahutubia huko Arusha anasema ataachia Ngazi 2030! Kwahiyo ameshajihakikishia Ushindi mwaka huu! Kumbe ni kweli uchaguzi wetu ni wa kiini Macho?!Mgombea alitoa jina lake na la mgombea mwenza.
Slaa hana jipya .CHADEMA Haina mvutoWakuu,
Kumbe kuna watu uko CCM na wenyewe wanapendezwa na hii agenda ya CHADEMA ya No Reforms No Elections?
Akiwa anazungumza leo kwenye ukumbi wa Mlimani City wakati yuko kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake Dkt Slaa amesema kuwa kuna baadhi ya watu CCM wanaunga agenda ya CHADEMA ya No Reforms No Elections akidokeza kuwa hata namna CCM walivyopitisha mgombea wao kwenye Uchaguzi hii haijakaa sawa kisheria
"Hata CCM wanasema No Reforms No Election kazaneni hapo hapo. Mliona ngoma iliyofanyika Dodoma, waliofanya wakati wanatetea wanaogombea. Kwanza wamevunja sheria. Wameanza Uchaguzi wa mapema kinyume na sheria alafu sisi wanatuambia tuko nje ya sheria"
True"No Reform, No Election" ilipaswa kuwa ajenda ya kitaifa; na kiukweli ina manufaa zaidi kwa CCM kuliko hata CHADEMA. Ni vile tu hawataki kufungua jicho la tatu..!
Ni Ulawiti kabisa ubakaji ina heshima kidogoUbakaji wa demokrasia
Hahahaa......hakunaJe wajumbe waliambiwa kuwa tunaenda kufanya uchaguzi wa mgombea wa Urais?
Halmashauri kuu ndio nn ww popoma chama kilivunja kanuni full stopHuyu mzee anaendeshwa zaidi na hisia,aidha ni mwota njozi, ccm haikuvunja sheria kwa sababu, halmashauri kuu ilikuwa pale na kamati kuu,ingelikuwa mh. Samia angejifanyia yeye binafsi bila ya uwepo wa muhimili hiyo ingelalamikiwa!
TindoWakuu,
Kumbe kuna watu uko CCM na wenyewe wanapendezwa na hii agenda ya CHADEMA ya No Reforms No Elections?
Akiwa anazungumza leo kwenye ukumbi wa Mlimani City wakati yuko kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake Dkt Slaa amesema kuwa kuna baadhi ya watu CCM wanaunga agenda ya CHADEMA ya No Reforms No Elections akidokeza kuwa hata namna CCM walivyopitisha mgombea wao kwenye Uchaguzi hii haijakaa sawa kisheria
"Hata CCM wanasema No Reforms No Election kazaneni hapo hapo. Mliona ngoma iliyofanyika Dodoma, waliofanya wakati wanatetea wanaogombea. Kwanza wamevunja sheria. Wameanza Uchaguzi wa mapema kinyume na sheria alafu sisi wanatuambia tuko nje ya sheria"
Duh, lugha za watu hizi.He is trying to be relevance but mhh. Haaminiki.
Mkuu, nadhani wanawake wange ipigia sana hii NO R, NO E, ukizingatia kwamba kwenye Rasimu ya Mapendekezo ya Katiba ya Mzee Warioba, ilipendekeza kwamba katika kila jimbo kuwe na wabunge 2, kwa maana ya KE na ME. KE washindane kivyao na ME nao kivyao na hatimaye kupata hao Wabunge 2 ndani ya Jimbo na hatimaye Bunge kuwa na uwiano wa kijinsia"No Reform, No Election" ilipaswa kuwa ajenda ya kitaifa; na kiukweli ina manufaa zaidi kwa CCM kuliko hata CHADEMA. Ni vile tu hawataki kufungua jicho la tatu..!
Kifungu cha ovyo sana kwenye ile rasimu.Rasimu ya Mapendekezo ya Katiba ya Mzee Warioba, ilipendekeza kwamba katika kila jimbo kuwe na wabunge 2, kwa maana ya KE na ME.
Hatukatai CCM kushindaNdugu najua umeandika kwa kuchanganyikiwa iko hivi.
Ccm inamsimamisha uraisi bara dr. samia suluhu hassan.
Na kule zanzibar ni mh. Mwinyi.
Na si hivyo tu. Uchaguzi upo, ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi aliye juu ya miaka kumi na nane.
Na atayeshinda ni CCM chini ya samia na mwinyi ,bara na zanzibar respectively, Washiriki uchaguzi, na hata wasiposhirika hao wapinzani. Ccm itashinda tu. Tena mapema.