Pre GE2025 Wilbroad Slaa: Hata CCM wanasema kuhusu No Reforms No Election kazaneni hapo hapo. Mliona kilichofanyika Dodoma, wamevunja sheria!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanasema NO election au tayari yamekuwa maneno yangu!
 
Vijana wa CCM, mna sikitisha sana.

Ili mradi chambi chambi,

Mnasubirii Teuzi, huku vichwani ni makopo TU.
 
Mwenye maamuzi ya Nani atakua Raisi ni wananchi.

Mpaka tulipo fikia lolote linawezekana, wananchi wakiamua ccm itoke madarakani ni simple Tu.
 
Mwenye maamuzi ya Nani atakua Raisi ni wananchi.

Mpaka tulipo fikia lolote linawezekana, wananchi wakiamua ccm itoke madarakani ni simple Tu.
Kisia nani ataongoza Nchi uchaguzi ukizuiliwa... Ila inauma Jitu Zima kujifunza siasa kwako
 
Sema domo kaya anawapoteza wafuasi wake haeleweki anaingia au anatoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…