GE2025 Wilbroad Slaa: Kesho kila mtu avae nguo au kitambaa cheusi kama ishara ya kuwa yuko pamoja na Tundu Lissu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Akizungumza kwa njia ya mtandao Wilbroad Slaa ametaka Watanzania kuvaa nguo nyeusi ili kuonesha kumuunga mkono Tundu Lissu hasa siku ya kesho ambapo kesi ya Lissu itakuwa inasikilizwa

"Asubuhi kesho vijana wavae nguo nyeusi ishara ya kuonesha kuwa huyu Jemdari wetu tuko pamoja nae"

Sivai mana sipo pamoja nae

Nipo pamoja na watanganyika Tu
 
Amen; mahakama haina budi kutenda haki.
 
Kitambaa cheusi ni ishara ya majonzi msiba na kingine cha namna hiyo .

Sijavutiwa na hiyo approach,nadhani kitambaa cheupe kingelileta maana kwa maana ya kuachiria haki ,amani na vingine vilivyo kwenye upande Nuru .

Anyway wacha tuheshimu hisia na muono wake ila binafsi sintavaa cheusi na badala yake nivavaa koti langu lakipaimara na T-shirt yangu nyeupe 🤣
 
Sivai mana sipo pamoja nae

Nipo pamoja na watanganyika Tu
Ukiwa pamoja na Tanganyika, halafu usiwe pamoja naye inakufanya kuwa kama bwege fulani hivi!
Umenielewa?
Nimetumia lugh HIYO MAKSUDI, NA SAHIHI KABISA,
 
Tatizo sio lakini unaamini Kweli Mimi ni bwege?

Au tuseme madaraka ni matamu lakini sio kupigania Nchi Kwa MTU mmoja.

Hii inafikirisha saana kuona kiza tukajua kwamba ni usiku tayari kumbe JUA limeshikwa na mwezi sijui.

Pengine tuseme Yule anayemuasha mwenzio kutoka usingizini kumbe na yeye yupo usingizini alikuwa anaota.

#TANGANYIKA
 
Naona sasa unanilazimisha nikuone kuwa ni bwege; maana hata unacho andika hakieleweki.
 
Back
Top Bottom