Amen; mahakama haina budi kutenda haki.Wakuu,
Akizungumza kwa njia ya mtandao Wilbroad Slaa ametaka Watanzania kuvaa nguo nyeusi ili kuonesha kumuunga mkono Tundu Lissu hasa siku ya kesho ambapo kesi ya Lissu itakuwa inasikilizwa
"Asubuhi kesho vijana wavae nguo nyeusi ishara ya kuonesha kuwa huyu Jemdari wetu tuko pamoja nae"
Ukiwa pamoja na Tanganyika, halafu usiwe pamoja naye inakufanya kuwa kama bwege fulani hivi!Sivai mana sipo pamoja nae
Nipo pamoja na watanganyika Tu
Naamini mahakama hii siyo ile ya Juma Ibrahim.Amen; mahakama haina budi kutenda haki.
Dr. MihogoWakuu,
Akizungumza kwa njia ya mtandao Wilbroad Slaa ametaka Watanzania kuvaa nguo nyeusi ili kuonesha kumuunga mkono Tundu Lissu hasa siku ya kesho ambapo kesi ya Lissu itakuwa inasikilizwa
"Asubuhi kesho vijana wavae nguo nyeusi ishara ya kuonesha kuwa huyu Jemdari wetu tuko pamoja nae"
Tatizo sio lakini unaamini Kweli Mimi ni bwege?Ukiwa pamoja na Tanganyika, halafu usiwe pamoja naye inakufanya kuwa kama bwege fulani hivi!
Umenielewa?
Nimetumia lugh HIYO MAKSUDI, NA SAHIHI KABISA,
Naona sasa unanilazimisha nikuone kuwa ni bwege; maana hata unacho andika hakieleweki.Tatizo sio lakini unaamini Kweli Mimi ni bwege?
Au tuseme madaraka ni matamu lakini sio kupigania Nchi Kwa MTU mmoja.
Hii inafikirisha saana kuona kiza tukajua kwamba ni usiku tayari kumbe JUA limeshikwa na mwezi sijui.
Pengine tuseme Yule anayemuasha mwenzio kutoka usingizini kumbe na yeye yupo usingizini alikuwa anaota.
#TANGANYIKA