Lussadam
JF-Expert Member
- Oct 13, 2007
- 1,341
- 907
Wilder hakutaka hela nyingi kuliko AJ.Alikuwa anataka 50:50 split lakini ametangaza kwamba yupo tayari kwa 60:40 hakuna sababu sasa.Amalizane na Parker March 31 then Blonze Bomber atakuwa anasubiriAj hajamkwepa wilder, last time eddie hearn wameshindwana sabb ya maslahi wilder anataka pesa nyingi kumliko joshua na kitu ambayo haipo broze hana thamani hyo,,,,, then pambano la wilder na ortiz limekuja kabla ya pambano la joshua na parker