Wilder ingawa ni heavyweight lakini hana uwezo wa kumkalisha Floyd Mayweather

Wilder ingawa ni heavyweight lakini hana uwezo wa kumkalisha Floyd Mayweather

Hapa ni mwendo wa kipenda roho hula nyama mbichi
 
Ortiz mwenyewe alikuwa mzembe round ya 7 alitakiwa amkalishe wilder na pambano liishie hapo
Ila wilder ni sugu nae, japo itamkost akikutana na watu wenye mikono mizito, defence technique zake ni hovyo kabisa..

Hata mimi naweza nikaingiza ngumi kadhaa kama nakutana nae.
 
Jibu swali boss.. Nani alikuwa anamkimbia mwenzake..

Hayo mengine ya umri sijui pretty boy ni blah blah tu
Jibu si hilo nimekupa au unataka jibu lipi?

Umesema Floyd kamngojea Pacquiao umri usogee ndio apigane naye sasa nikakujibu unajua Floyd na Pacquiao nani mkubwa? Floyd ni mkubwa kiumri kuliko huyo pacquiao wako na umesema Floyd kamngoja PAC umri usogee ndio apigane naye sasa je Floyd umri wake naye hausogei au?

Pili nimekuuliza Kati ya Floyd na Pacq nani katoka kwenye prime yake?

Hivi unalijua balaa la Floyd kipindi anaitwa pretty boy?

Kama vitu huelewi usidakie dakie tu, uliza ujuzwe
 
Kizazi cha sa hivi kwenye masumbwi bado sijaona bondia kama kizazi cha kina Muhammad ali, joe frazier, sugar ray robinson na kadhalika
Sio AJ sio wilder sio Parker
 
Technically Wilder anajua anachokifanya....ana act kama ana weak defense ili kumvutia adui kushambulia kwa kuwa ana uhakika na madhara ya punch zake....kama una kumbu kumbu ushindi mwingi wa Wilder wa KO ni kutokana na mashambulizi mfululizo kutoka kwa Wilder na mpinzani wake....ambapo Wilder kutokana na ngumu zake nzito anamkaliza mpinzani wake........

Pia Wilder anatumia sana left hook na right hook badala ya jab jambo ambalo linamlazimu awe karibu na adui na ili awe karibu na adui lazima amvutie adui kushambulia kwa kuacha uso wazi.....hapo ndipo zinapopatikana KO za Wilder........
 
Attachments

  • 9BAD8D61-D23E-4F12-89D7-20618D083E39.jpeg
    9BAD8D61-D23E-4F12-89D7-20618D083E39.jpeg
    34.4 KB · Views: 47
  • E0E5881D-F5D5-47F4-BC08-EC0463DFFFA8.jpeg
    E0E5881D-F5D5-47F4-BC08-EC0463DFFFA8.jpeg
    53.2 KB · Views: 38
  • 5E7EB710-F09A-4CAE-AF17-0C2BBCC38751.jpeg
    5E7EB710-F09A-4CAE-AF17-0C2BBCC38751.jpeg
    37.9 KB · Views: 37
Wilder alikuwa anamkwepa Ortiz?

Hapana. Hilo si sahihi.

Unajua kuwa walikuwa wamepanga kupigana mwaka jana lakini Ortiz aka fail drug test?

Wilder hajawahi kumkwepa mtu.

Halafu Ortiz wala hajachoka.

Kabla ya Jumamosi rekodi yake ilikuwa ni 28-0 na 24 KOs.

Maana yake ni alikuwa undefeated kwenye pro ranks.

Meanwhile, wakati Joshua anapigana na Klitscho, jamaa [Klitschko] alikuwa anatoka kwenye long lay off na alikuwa kashindwa mpambano wake wa mwisho na Tyson Fury.

Halafu Klitschko kwanza alikuwa keshawahi kupigwa kwa knockout na Corrie Sanders. Lamon Brewster pia alimpiga kwa knockout. Hata Ross Purity alimpiga Klitschko kwa KO.

Kwa hiyo wakati Klitschko anapigana na Joshua, blueprint ya kumpiga kwa KO ilikuwepo tayari.

Kabla ya Jumamosi ni nani aliyekuwa kampiga Ortiz kwa KO kwenye pro ranks?

Wilder kafanya kitu ambacho hakuna bondia mwingine aliyeweza kukifanya kwa Ortiz.

Na kusema Wilder alikuwa anamkwepa Ortiz ni kutokujua mambo na kutokuwa mfuatiliaji mzuri wa combat sports.

Deontay Wilder has never ducked anybody.

Halafu unasema ile raundi ya saba ingekuwa ndo AJ pambano lingeisha?

Well, mbona pia hujasema kwenye ile raundi ya tano kwenye Joshua vs Klitschko ambapo Klitschko alimdondosha AJ, kama ingekuwa Wilder mpambano ungeishia hapo?

Hahahaa are you having selective amnesia sir?

AJ alikuwa hajitambui ile raundi ya tano. Hata raundi ya sita alikuwa hajitambui kabisa.

Sasa unadhani kama mbele yake angekuwa ndo yupo Wilder na si Klitschko, angechomoka kweli?

40 fights, 39 KOs, is an impressive record. It’s not a fluke either. Wilder’s power is real. It’s nothing to sneeze at.
No sijasema alikuwa anamkwepa kupigana nae ...namaanisha style ya kupigana ya Wilder ni ya kike ....alikuwa anamkimbia Ortiz ulingoni .....anapigana kwa kuvizia sana ...ndio maana alipojichanganya uso kwa uso round ya 7 akatandikwa kama mtoto ....anyway Wilder anaweza kumsumbua AJ round nyingi sababu ya kukimbiakimbia lakini udhaifu wake kwenye defence atapigwa vibaya .....Wilder pia ana mikono mirefu na mabondia wengi aliopigana nao akiwemo Ortiz ngumi zao zinashindwa kumfikia vizuri sababu ya height pia kitu ambacho ni tofauti kabisa kwa AJ ....AJ ni bondia aliyekamilika tofauti kabisa na Wilder
 
Nataka kuuliza wilder anarusha ngumi au makofi?? !anaheshima yake ila kwakweli anapigna ka si profesional
Ngumi zake zinachekesha sana lakini ndio zinakalisha watu ...[emoji41] [emoji41]
 
Jibu si hilo nimekupa au unataka jibu lipi?

Umesema Floyd kamngojea Pacquiao umri usogee ndio apigane naye sasa nikakujibu unajua Floyd na Pacquiao nani mkubwa? Floyd ni mkubwa kiumri kuliko huyo pacquiao wako na umesema Floyd kamngoja PAC umri usogee ndio apigane naye sasa je Floyd umri wake naye hausogei au?

Pili nimekuuliza Kati ya Floyd na Pacq nani katoka kwenye prime yake?

Hivi unalijua balaa la Floyd kipindi anaitwa pretty boy?

Kama vitu huelewi usidakie dakie tu, uliza ujuzwe
Naona umekuja na maneno yako..

Ila pia labda hukuelewa lugha niliyotumia.. "At his prime" hairelate chochote na umri..
 
Mkuu hiv unajua height ya wilder na floyd,kwanza tuanze hapo...

Wakisimama ni sawa hasheem thabit na joti..uzito, je...hata sku1 usimfananishe heavy weight na light weight

Floyd ni undesputed kwenye height yake mkuu,..acha masihara kabsa

Pia wilder kwa AJ anakalishwa sabab anapigana kitoz,
 
No sijasema alikuwa anamkwepa kupigana nae ...namaanisha style ya kupigana ya Wilder ni ya kike ....alikuwa anamkimbia Ortiz ulingoni .....anapigana kwa kuvizia sana ...ndio maana alipojichanganya uso kwa uso round ya 7 akatandikwa kama mtoto ....anyway Wilder anaweza kumsumbua AJ round nyingi sababu ya kukimbiakimbia lakini udhaifu wake kwenye defence atapigwa vibaya .....Wilder pia ana mikono mirefu na mabondia wengi aliopigana nao akiwemo Ortiz ngumi zao zinashindwa kumfikia vizuri sababu ya height pia kitu ambacho ni tofauti kabisa kwa AJ ....AJ ni bondia aliyekamilika tofauti kabisa na Wilder

Hiyo inaitwa strategy!

Ortiz ni counter-puncher halafu ni southpaw.

Na ana one punch knockout power.

Ni lazima uwe na strategy ukipigana naye.

Kwenye boxing lengo ni ku hit and not get hit.

Sasa kwa nini usiwe na strategy inayo neutralize strengths za opponent wako?

Halafu, hiyo unayoiita ni style ya kike imeshawa knockout opponents wake wote waliopanda naye ulingoni!

Hakuna mpinzani wake ambaye hajawahi kuwa knocked out na yeye.

He is by far the hardest puncher in the heavyweight division.

He is a one punch knockout artist.

40 wins and 39 KOs! Halafu unaiita style ya kike. Hahahahaaaa anywho....that’s your opinion and you’re entitled to it.
 
Mkuu hiv unajua height ya wilder na floyd,kwanza tuanze hapo...

Wakisimama ni sawa hasheem thabit na joti..uzito, je...hata sku1 usimfananishe heavy weight na light weight

Floyd ni undesputed kwenye height yake mkuu,..acha masihara kabsa

Pia wilder kwa AJ anakalishwa sabab anapigana kitoz,

Wewe unazungumzia height au weight?

Hahahahahaaaa daaaah!

Casual boxing fans mnachekesha sana.
 
Naona umekuja na maneno yako..

Ila pia labda hukuelewa lugha niliyotumia.. "At his prime" hairelate chochote na umri..
Sasa mtu kitu kinachochagiza kutoka kwenye prime yake ni nini kama sio umri kumtupa mkono?

Ndio maana nikakuuliza unajua kati ya hao wawili nani mkubwa kuliko mwengine na nani anastahili kusema hayupo kwenye ubora wake?
 
Mkuu kuwa kwenye prime hakudetermine chochote umri wa mtu..

Unaweza ukamantain prime yako kwa miaka hata kumi (consistence) kama unavowaona akina Ronaldo na Messi tangia wakiwa vijana wa miaka 20 mpaka sasa hawana tofauti..

Lakini pia unaweza ukawa kwenye prime yako kwa muda mchache tu, miaka miwili mpaka mitano ukaanza kuteremka.. Kuanzia 2014 Pac Man hakuwa yule wa 2007-12.. Na Floyd ndio kipindi alichokuwa akimkwepa..
 
Back
Top Bottom