Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
makofi? we una utani. ina maana hukumuona Ortiz kala kitasa hadi akaanza kutema udenda kwenye sakafu?Nataka kuuliza wilder anarusha ngumi au makofi?? !anaheshima yake ila kwakweli anapigna ka si profesional
Jibu si hilo nimekupa au unataka jibu lipi?Jibu swali boss.. Nani alikuwa anamkimbia mwenzake..
Hayo mengine ya umri sijui pretty boy ni blah blah tu
Watu wa hivi ndo waajabu zamani inahusika nn asaKizazi cha sa hivi kwenye masumbwi bado sijaona bondia kama kizazi cha kina Muhammad ali, joe frazier, sugar ray robinson na kadhalika
Sio AJ sio wilder sio Parker
Kaangalie Thriller in manila halafu ndo utaelewa UAJABU WANGU.Watu wa hivi ndo waajabu zamani inahusika nn asa
Hujanielewa mkuu hao unaowataja wanaishi kwenye level za peke yao kila anafahamu hilo swala ni kizazi hili.Kaangalie Thriller in manila halafu ndo utaelewa UAJABU WANGU.
No sijasema alikuwa anamkwepa kupigana nae ...namaanisha style ya kupigana ya Wilder ni ya kike ....alikuwa anamkimbia Ortiz ulingoni .....anapigana kwa kuvizia sana ...ndio maana alipojichanganya uso kwa uso round ya 7 akatandikwa kama mtoto ....anyway Wilder anaweza kumsumbua AJ round nyingi sababu ya kukimbiakimbia lakini udhaifu wake kwenye defence atapigwa vibaya .....Wilder pia ana mikono mirefu na mabondia wengi aliopigana nao akiwemo Ortiz ngumi zao zinashindwa kumfikia vizuri sababu ya height pia kitu ambacho ni tofauti kabisa kwa AJ ....AJ ni bondia aliyekamilika tofauti kabisa na WilderWilder alikuwa anamkwepa Ortiz?
Hapana. Hilo si sahihi.
Unajua kuwa walikuwa wamepanga kupigana mwaka jana lakini Ortiz aka fail drug test?
Wilder hajawahi kumkwepa mtu.
Halafu Ortiz wala hajachoka.
Kabla ya Jumamosi rekodi yake ilikuwa ni 28-0 na 24 KOs.
Maana yake ni alikuwa undefeated kwenye pro ranks.
Meanwhile, wakati Joshua anapigana na Klitscho, jamaa [Klitschko] alikuwa anatoka kwenye long lay off na alikuwa kashindwa mpambano wake wa mwisho na Tyson Fury.
Halafu Klitschko kwanza alikuwa keshawahi kupigwa kwa knockout na Corrie Sanders. Lamon Brewster pia alimpiga kwa knockout. Hata Ross Purity alimpiga Klitschko kwa KO.
Kwa hiyo wakati Klitschko anapigana na Joshua, blueprint ya kumpiga kwa KO ilikuwepo tayari.
Kabla ya Jumamosi ni nani aliyekuwa kampiga Ortiz kwa KO kwenye pro ranks?
Wilder kafanya kitu ambacho hakuna bondia mwingine aliyeweza kukifanya kwa Ortiz.
Na kusema Wilder alikuwa anamkwepa Ortiz ni kutokujua mambo na kutokuwa mfuatiliaji mzuri wa combat sports.
Deontay Wilder has never ducked anybody.
Halafu unasema ile raundi ya saba ingekuwa ndo AJ pambano lingeisha?
Well, mbona pia hujasema kwenye ile raundi ya tano kwenye Joshua vs Klitschko ambapo Klitschko alimdondosha AJ, kama ingekuwa Wilder mpambano ungeishia hapo?
Hahahaa are you having selective amnesia sir?
AJ alikuwa hajitambui ile raundi ya tano. Hata raundi ya sita alikuwa hajitambui kabisa.
Sasa unadhani kama mbele yake angekuwa ndo yupo Wilder na si Klitschko, angechomoka kweli?
40 fights, 39 KOs, is an impressive record. It’s not a fluke either. Wilder’s power is real. It’s nothing to sneeze at.
Binafsi naona AJ atapata challenge kubwa sana kuliko mapambano yaliyopita. Parker ni ngumi jiwe ...Anthony Joshua v Joseph Parker on March 31.
Who ya got?
Ngumi zake zinachekesha sana lakini ndio zinakalisha watu ...[emoji41] [emoji41]Nataka kuuliza wilder anarusha ngumi au makofi?? !anaheshima yake ila kwakweli anapigna ka si profesional
Naona umekuja na maneno yako..Jibu si hilo nimekupa au unataka jibu lipi?
Umesema Floyd kamngojea Pacquiao umri usogee ndio apigane naye sasa nikakujibu unajua Floyd na Pacquiao nani mkubwa? Floyd ni mkubwa kiumri kuliko huyo pacquiao wako na umesema Floyd kamngoja PAC umri usogee ndio apigane naye sasa je Floyd umri wake naye hausogei au?
Pili nimekuuliza Kati ya Floyd na Pacq nani katoka kwenye prime yake?
Hivi unalijua balaa la Floyd kipindi anaitwa pretty boy?
Kama vitu huelewi usidakie dakie tu, uliza ujuzwe
No sijasema alikuwa anamkwepa kupigana nae ...namaanisha style ya kupigana ya Wilder ni ya kike ....alikuwa anamkimbia Ortiz ulingoni .....anapigana kwa kuvizia sana ...ndio maana alipojichanganya uso kwa uso round ya 7 akatandikwa kama mtoto ....anyway Wilder anaweza kumsumbua AJ round nyingi sababu ya kukimbiakimbia lakini udhaifu wake kwenye defence atapigwa vibaya .....Wilder pia ana mikono mirefu na mabondia wengi aliopigana nao akiwemo Ortiz ngumi zao zinashindwa kumfikia vizuri sababu ya height pia kitu ambacho ni tofauti kabisa kwa AJ ....AJ ni bondia aliyekamilika tofauti kabisa na Wilder
Mkuu hiv unajua height ya wilder na floyd,kwanza tuanze hapo...
Wakisimama ni sawa hasheem thabit na joti..uzito, je...hata sku1 usimfananishe heavy weight na light weight
Floyd ni undesputed kwenye height yake mkuu,..acha masihara kabsa
Pia wilder kwa AJ anakalishwa sabab anapigana kitoz,
Sasa mtu kitu kinachochagiza kutoka kwenye prime yake ni nini kama sio umri kumtupa mkono?Naona umekuja na maneno yako..
Ila pia labda hukuelewa lugha niliyotumia.. "At his prime" hairelate chochote na umri..
Mkuu kuwa kwenye prime hakudetermine chochote umri wa mtu..Sasa mtu kitu kinachochagiza kutoka kwenye prime yake ni nini kama sio umri kumtupa mkono?
Ndio maana nikakuuliza unajua kati ya hao wawili nani mkubwa kuliko mwengine na nani anastahili kusema hayupo kwenye ubora wake?