Wilder ingawa ni heavyweight lakini hana uwezo wa kumkalisha Floyd Mayweather

Aj hajamkwepa wilder, last time eddie hearn wameshindwana sabb ya maslahi wilder anataka pesa nyingi kumliko joshua na kitu ambayo haipo broze hana thamani hyo,,,,, then pambano la wilder na ortiz limekuja kabla ya pambano la joshua na parker
Wilder hakutaka hela nyingi kuliko AJ.Alikuwa anataka 50:50 split lakini ametangaza kwamba yupo tayari kwa 60:40 hakuna sababu sasa.Amalizane na Parker March 31 then Blonze Bomber atakuwa anasubiri
 
Jibu swali boss.. Nani alikuwa anamkimbia mwenzake..

Hayo mengine ya umri sijui pretty boy ni blah blah tu
Hakuna alomkimbia mwenzake.Floyd alikuwa anataka blood testing iwe ya kiwango cha juu sababu nyuma ya pazia Pac Man alikuwa anatuhumiwa kutumia Performance Enhancing Drugs
 
Ashakutana na watu 39. wote 39 walikula KO.Mmoja mara ya kwanza alimaliza round zote 12 lakini naye akaoshia kula first round KO kabla ya kuzipiga na Ortiz. Wilder is 40-0
 
Kama ni ya Kike,vp mwanaume anakubali kupigwa na style ya kike? Ina maana hata mwanamke atampiga kama yule mwenye kutumia style ya kike alimkalisha chini
 
Naona umekuja na maneno yako..

Ila pia labda hukuelewa lugha niliyotumia.. "At his prime" hairelate chochote na umri..
When was Pac Man prime and when was Floyd prime? Kama unazungumzia kuhusu prime,kwa nini unatalk about PacMan prime and NOT floyd prime? Mbona husemi wangepigana kwenye floyd prime???? Fafanua please
 
Olympic style testing ndo ilikuwa tatizo
 
Nani anapigana kitozi Wilder au AJ?

Halafu umetumia kigezo cha urefu ,embu kaangalie Tyson alivyokuwa anapigana na majitu marefu marefu lakini alikuwa anayakalisha . au hata Floyd amepigana na majitu marefu marefu lakini ameyakalisha kama kawa.
Floyd alikuwa anapigana kwa uzito chini ya 70kg na Wilder yupo plus or minus 100kg .siku na Ortiz alikuwa 97kg. Unafikiri bondia wa 70kg anaweza simama na 100Kg???
 
Lete evidence kwamba floyd alimkimbia Pac Man.Weka hata link tu
 
Wewe ni Pimbi hata hujui ngumi zinaendeshwaje. I guarantee you kwa uzito wa floyd wilder akiconnect moja tu,lazima floyd azimike moja kwa moja au atazindukia mortuary.
wewe boya soma kwanza heading kabla hujaanza kupayuka payuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…