Wilfred Zaha nusura dhambi ile imhukumu !

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Niliongea wiki jana juu ya kukataliwa kwa goli la Genk wengi wakapinga.

Niliongea wenzetu hawa (hasa kwenye michezo) kwa haraka mara nyingi hawapendi kutupa credit sie Blacks; hawataki kabisa kukubali kwa urahisi

Nyerere alisema dhambi ya ubaguzi mbaya sana, ni sawa na kula nyama ya mtu. Nina hakika vituko vingi vya style hii tutaendelea kuvishuhudia japo Waafrika wengi hawaamini hili.
 
Ipo hata kwa CCM slsfu wakiambiwa wamekufa wanaanza kusema TUOMBEANE, kumbe wao ni waoga wa kifo lakini wamewapiga wenzao risasi, wamewatupa coco beach, wamewatupa ruvu.
SHETANI anaogopa kifo kuliko tuzanivyo.
 
andika taratibu maana unachanganya mambo.
 
We ndo mbaguzi, na unaleta ubaguzi wako, sasa kile kitendo kimeingiaje Kwenye ubaguzi wa rangi.
Hata ningekua ni Mimi refa ningefanya vile kweli aliguswa lakini si kwa kuruka kule alikofanya Zaha ndo mana hadi jicho la usaidizi limetumika kuona ka kweli aliguswa.
Uache kuendekeza ubaguzi. Angefanyiwa mzgu usingesema, ungeona ni kawaida.
 
kwa hyo hao wanaondesha VAR ni watu weusi ndo maana wakaamuru iwe penalty
 
Kama ni wachezaji wa Crystal Palace walichezeana rafu wenyewe kwa wenyewe haina haja ya kulalamika
 
Haraka zake zimefanya hadi Chambers awe mchezaji wa Crystal Palace, sasa sijui Zaha ndo wa Arsenal?
Calum Chambers ni mchezaji wa Crystal palace na ndiye aliyecheza rafu ile....hata wewe unao wenzako mliofanana majina.
 
Calum Chambers ni mchezaji wa Crystal palace na ndiye aliyecheza rafu ile....hata wewe unao wenzako mliofanana majina.
Ilikuwaje tena penalty ipigwe kwenda goli la arsenal wakati Zaha aliyefanyiwa na aliye cheza rafu wote wa Crystal Palace.........!
 
Nyerere alisema dhambi ya ubaguzi mbaya sana, ni sawa na kula nyama ya mtu. Nina hakika vituko vingi vya style hii tutaendelea kuvishuhudia japo Waafrika wengi hawaamini hili.
Sidhani kama mwandishi kafikiria ukicho fikiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…