Bennie 369
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 713
- 534
Pasco tupo pamoja na unazidi kunipa nguvu zaidi. Naomba unisaidie ktk hili. Nikiwa mdogo nilikua nikiwaza kitu kinatokea. Mfano tulikua na jiran yetu ambe tangu nikae hapo sikuwai kumuona. Siku moja huyo jiran alitoka nje bibi yangu akamsalimia. Nikamuuliza bibi mbana huyu simjui akasema ni.jiran yetu.na yupo hapa siku zote nikamjibu hata angekufa jana ningejiuza sana yukoje. Ajabu usiku ule alikufa. Nilishangaa sana. Tukio lingine kuna kaka mmoja nilikutana nae akiwa amelewa sana nikawaza huyu anaweza akagongwa na gari na maiti yake isijulike ona anavoyumba. Baada ya mda nikasikia kagongwa na tren. Matukio hayo. Na mengine mengi yalikua yakitokea. Sasa mimi.mtu mzima, bado.najihisi.nina nguvu za miujiza ila sijajua jinsi ya kuzitumia vizuri. Mf lilibahatika kuwa na watoto wa kike tu. Baada ya miaka 8 bila kupata mtoto nilitaman tena kupata mtoto wa kiume.ile hali ilinisukuma sana na ikapelekea kuanza kununua nguo za kiume, viatu. Nk vyote vihusuvo mtt wa kiume nikiwa sina hata mimba. Miezi 7 badae nilipata ujauzito rohon niliamin.kabisa ajae ni mtoto wa kiume. Na jina nililokua nalo rohon ni.gudluck. sikuwahi kujadili na baba ake lolote juu ya mtt ajae. Baada ya miez 9 Nilipikea mtt wa kiume nilipomjulisha baba ake akanoambia asante huyo ataitwa gudluck. Shuhuda mwingine ni huu ndani kwangu kulikua na mende wengi wasioisha hata upulize dawa vip. Siku moja nikachukua maji nikayaombea kisha nikanyunyiza ndan nikaondoka huku nikisema nikirudi mende wote watakua wamekufa. Niliporudi nilishangaa kuona mende wate wamekufa na ni miaka 3 sasa wale mende hawapo. Naweza nikakaa nikawaza ghafla kuwa mume wangu ana mwanamke nashika simu.nampigia halafu namuomba anipe huyo alie nae nimsalimie atakata simu atazima akiamin huwenda nimemuona ajabu sijamuona ila alimudithia mdogo wake kuwa anajiuliza sana nina nini kwani kila ninachomwambia huwa ni.kweli na wakati mwingine huwa mikoan. Alimwambia mdogo wake imefika mahali ananigopa kwani kila ninachamtahadharisha asipozingatia hutokea. Naomba no.ya simu ili unipe ushauri zaid..binafs mimi ni.mkristo ila siamin kabisa kuombewa naamini.kujiombea, siamin mch, padri, askofu, nabii, mitume nk. Yaan siamin kabisa kabisa. Naamin sana mimi kama mimi.
kqaaaah???..... basi weewe ndo utakua yule ajae