Kapyepye Mfyambuzi
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 542
- 921
Natamani Ulimwengu mzima ungepata Ufahamu huu, tungekuwa sehemu salama sana. Kinacho sikitisha zaidi hata Yesu mwenyewe aliuweka wazi ulimwengu kuwa "Imani yako Imekuponya". Hakusema kitu kingine kama dini/ dhehebu/ utamaduni wala kanisa fulani. Inasikitisha sana.Mkuu Kamanda, sijasema popote Yesu haponyi nimesema Yesu alifanya miujiza ya uponyaji na hadi kumfufua Lazaro!.
Ninachozungumzia humu ni zile nguvu za uponyaji zinatoka wapi?!. Wengi wanaponywa kwa kutumia neno tuu "Katika Jina Yesu, Uponywe!", au mapepo yatoke!. Jee kinachoponya ni nini?!, ni hilo jina linaingia ndani yako na kukuponya?!, yaani wengi wanadhani ni jina ndilo linaloponya!, No!. Wengine wanadhani ukiisha lija "Kwa Jina la Yesu" hizo nguvu za uponyaji, zinatoka kwa yule muhubiri wa uponyaji, na Yesu analeta nguvu, na kukuingia wewe na kukuponya, na ndio maana ukiisha ponywa unaambia sema "Asante Yesu!".
Ninachofundisha mimi humu ni kuwa hizo nguvu, hazitoki kwa Mhubiri, wala haziletwi na Yesu!, hizo nguvu zimo ndani yetu, ziliwekwa na Mungu mwenyewe ile siku ulipotuumba kwa mfano wake!. Kinachofanywa na Jina la Yesu, ni kuzifungulia tuu hizo nguvu zilizoko ndani yako na kufanya muujiza wa uponaji, Jina la Yesu ni catalyst tuu, nguvu ziko ndani yetu, na namna ya kuzitumia ni kuamini tuu!, ndio maana hata Yesu mwenyewe, wale aliyewaponya, aliwaambia kilichowaponya ni "imani yao!".
Haya sio mambo ya NWO, hii nimkweli tuu ambayo sio wengi wanaifahamu na kuitumia!, nimekuambia sijakwenda hospital more than 20 years nikiumwa chochote ukiondoa ile ajali niliyoipata!, where does hiyo NWO comes in?!.
Kweli hii ninayoifundisha humu, ndio kweli hii hii iliyofundishwa na Yesu mwenyewe, tofauti yangu ni kuwa broader zaidi kuwa ukiamini kuwa you have the powers, hizi nguvu zitafunguliwa na kufanya uponyaji regardless wewe ni wa imani gani!.
Its about opening the gates of powers from within you!.
Pasco.
Kama Kuna mtu bado hajakuelewa ndo bas tena imekula kwake atahangaika kwa waganga na kumtafuta makanisa ya Uponyaji hali yakuwa Uponyaji umo ndani mwake. Ni kuamini tu, Kila kitu kinajiset.