"Will Powers!", "Faith Healing!"-Nguvu za Kufanya Miujiza ya Uponyaji kwa Imani. Kila Mtu Anazo!

Natamani Ulimwengu mzima ungepata Ufahamu huu, tungekuwa sehemu salama sana. Kinacho sikitisha zaidi hata Yesu mwenyewe aliuweka wazi ulimwengu kuwa "Imani yako Imekuponya". Hakusema kitu kingine kama dini/ dhehebu/ utamaduni wala kanisa fulani. Inasikitisha sana.
Kama Kuna mtu bado hajakuelewa ndo bas tena imekula kwake atahangaika kwa waganga na kumtafuta makanisa ya Uponyaji hali yakuwa Uponyaji umo ndani mwake. Ni kuamini tu, Kila kitu kinajiset.
 
Kwa walioshindwa kufanya meditation zipo njia rahisi sana nilizojifunza kupitia kitabu hiki nilichonacho cha Meditation. Kama unataka unufaike na meditation na kuifanya kwa njia rahisi zaidi na baadaye kuona matokeo yake nicheki Pm nikutumie.
Kizuri kula na wenzio, the most important thing in life, is the air that we breath, it's free. Kama hicho kitabu unacho, kiweke hapa kuwa shared for free na sio kuitana inbox na kuishia kubomiana na kupigana mizinga!.
P
 
Kizuri kula na wenzio, the most important thing in life, is the air that we breath, it's free. Kama hicho kutabu unacho, kiweke hapa kuwa shared for free na sio kuitana inbox na kuishia kubomiana na kupigana mizinga!.
P
π™Όπš”πšžπšž πš—πšŠπš˜πš–πš‹πšŠ πšžπšπšŠπšπšŠπš—πšžπš£πš’ πš”πš’πšπš˜πšπš˜. π™ΌπšŠπš›πšŠ πš”πš πšŠ πš–πšŠπš›πšŠ πš—πš’πš–πšŽπš”πšžπš πšŠ πš—πš’πš”πš’πš”πšžπšπšŠπš—πšŠ πš—πšŠ πš—πšŠπš–πš‹πšŠ 11 πš™πš’πš—πšπš’ πš—πš’πš”πš’πšœπšŽπš–πšŠ 𝚝𝚞 πš•πšŠπš‹πšπšŠ πš—πš’πšŒπš‘πšžπš”πšžπšŽ πšœπš’πš– πš—πš’πšŒπš‘πšŽπš”πš’ πš”πš’πšπšž πšπš•πšŠπš—πš’ πš”πš’πšœπš’πšŒπš‘πš˜πš‘πšžπšœπš’πšŠπš—πšŠ πš—πšŠ πš–πšžπšπšŠ, πš•πš”πš— πš—πš’πš”πš’πšπšžπš™πš’πšŠ πš“πš’πšŒπš‘πš˜ πš”πš πšŽπš—πš’πšŽ πšπš’πš–πšŽ πš—πšŠπš”πšžπšπšŠ πš–πšžπšπšŠ πš πšŽπš—πš’πšŽ πšπš” 11. πš–πšπšŠπš—πš˜ πš”πš– πš—πš’ 𝚜𝚊𝚊 6 πš‹πšŠπšœπš’ πšπš” 11, 𝚊𝚞 πš”πš– πš—πš’ 𝚜𝚊𝚊 2 πšπš” 11 πš—πšŠ πš πšŠπš”πšŠπšπš’ πš–πš πš’πš—πšπš’πš—πšŽ 11:11. π™·πš’πš’ πš’ πšŠπšπš˜πš”πšŠπš—πšŠ πš—πšŠ πš—πš’πš—πš’ πš”πš πšŠ πš–πšžπš˜πš—πš˜ πš πšŠπš”πš˜?
 
Pascal Mayalla huu uzi wako uliuandika katika ufahamu wa juu Sana hakika wewe ni hazina na sasa umekuwa Tunu.

'From within ' Ina kitu kikubwa nadhani inabidi maana unatabiri mambo na yanakuwa katika taifa letu.
ClapπŸ‘πŸΌ
 
Mimi hua inanitokea mara nyingi sana nikiwaza nyimbo flani then within seconds naiskia inapigwa kwenye radio or boda inapita ina mziki au gari whatever imenitokea mara nyingi sana! Hua najiuliza hii coincidence vp?

Pia dejavu ya kuhisi hii sehemu, matendo nayofanya kama nishawahi fanya naona familiarity kubwa sana

Mkuu pasco nahis watu wengi hua wanaona vi dalili flani vya ajabu ila wanapuuzia, mama yangu mara nyingi nikiumwa ananipigia kabla ata sijamwambia ananiambia hayuko comfortable anahis kuna k2 kinanisumbua na kweli nakua mgonjwa muda huo.

Swali langu how do one embrace and fully utilize that will power?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…