Will Smith(53) akiri kumruhusu rapa August Alsina(29) kutembea kimapenzi na mke wake Jada Pinket(50)

Will Smith(53) akiri kumruhusu rapa August Alsina(29) kutembea kimapenzi na mke wake Jada Pinket(50)

Vijana hawana huruma na mama zao.
29 kwa 50![emoji23]

Naomba msiniletee habari za rejea.
 
Alikua anamuonea wivu Tupac sasa ameruhusu kajamaa kale mke wake,si angemruhusu Tupac wakati ule
 
Alikua anamuonea wivu Tupac sasa ameruhusu kajamaa kale mke wake,si angemruhusu Tupac wakati ule
Kwan pac hakula? Si alikuwa namuonea wivu kwasababu alijua jada anampenda sana pac au?
Jamaa ana roho ya kusharr mapenzi lakini hana roho ya kuvumilia utani 😕
 
Kwan pac hakula? Si alikuwa namuonea wivu kwasababu alijua jada anampenda sana pac au?
Jamaa ana roho ya kusharr mapenzi lakini hana roho ya kuvumilia utani 😕
demu anasema waliishia denda na Pac but anakiri alimpenda sana Pac,Smith ana hasira
 
Demu alisema ni ngumu kuliona tabasamu la tupac hata ukiwa umechukia umuone tupac anatabasam then ubaki na hali ile ile.

Alisema tabasamu la tupac kulikuwa special. Huyu dem alikua akimkubari sana 2pac. Hii niliona kwny interview moja.
 
Ila Jada ana nyota jmn dahh
Kwny Maisha Mungu tujalie bahati uzuri sio issue
 
Kwa maradhi yanayomuandama August Alsina angeendelea tu kuwala hawa viumbe bila kujali ni mke wa nani.hasa wanawake aina ya Jada ambao hawana noma wala aibu.Na vile jamaa katoka down sana now ana game,pesa kidogo,muonekano fresh bado pia Hana uhakika juu ya afya take hakuna alichobakiza angewala tu.
 
Back
Top Bottom