The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Baada ya kumzaba Kibao Chris Rocks hadharani kwenye hafla ya Oscar Will Smith hana sifa na hadhi ya kuwakilisha na kutangaza Mbuga zetu iwe Bure, hiari, kujitolea ama kulipwa.
Video zote alizopiga Serengeti na vivutio vingine nchini ziondolewe au kufutwa.
Hii itasaidia zaidi kuitangaza nchi yetu na kuindolea aibu na doa kwa mtu mzima kama huyu kushindwa kuzuia hisia zake hadharani.
Wizara na wadau wa utalii wachukue hatua stahiki na za haraka sana ili kuepusha sintofaham ambayo inaweza kujitokeza.