Will Smith asitumiwe tena kuwakilisha mbuga zetu

Will Smith asitumiwe tena kuwakilisha mbuga zetu

Alichofanya ni sawa tu, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Mwenye hataki kwa nini unaendelea kumletea masihara...
 
Kwanza kwa huu mkasa ndiyo atatutangazia vizuri zaidi vivutio vyetu.
 
Unateseka kutokea pande gani mwa tanzania?
 
Baada ya kumzaba Kibao Chris Rocks hadharani kwenye hafla ya Oscar Will Smith hana sifa na hadhi ya kuwakilisha na kutangaza Mbuga zetu iwe Bure, hiari, kujitolea ama kulipwa.

Video zote alizopiga Serengeti na vivutio vingine nchini ziondolewe au kufutwa.

Hii itasaidia zaidi kuitangaza nchi yetu na kuindolea aibu na doa kwa mtu mzima kama huyu kushindwa kuzuia hisia zake hadharani.

Wizara na wadau wa utalii wachukue hatua stahiki na za haraka sana ili kuepusha sintofaham ambayo inaweza kujitokeza.


No wonder umeamua kujiita hilo jina.
 
Ukikua, utaelewa maana ya kutunza Heshima ya Familia yako kwa Gharama Yoyote ile.
 
Back
Top Bottom