The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Baba askofu kamkula kondoo wa bwana na bado akazawadiwa jimbo kama pongezi kwa ujasiri aliounesha kwenye ule mkanda wake wa video.Wenye nchi watakushangaa kuleta mambo ya wazungu, huku hata ukifumaniwa unaendelea tu na wadhifa wako.
Ule ulikuwa utaniBaada ya kumzaba Kibao Chris Rocks hadharani kwenye hafla ya Oscar Will Smith hana sifa na hadhi ya kuwakilisha na kutangaza Mbuga zetu iwe Bure, hiari, kujitolea ama kulipwa.
Video zote alizopiga Serengeti na vivutio vingine nchini ziondolewe au kufutwa.
Hii itasaidia zaidi kuitangaza nchi yetu na kuindolea aibu na doa kwa mtu mzima kama huyu kushindwa kuzuia hisia zake hadharani.
Wizara na wadau wa utalii wachukue hatua stahiki na za haraka sana ili kuepusha sintofaham ambayo inaweza kujitokeza.
Hakufanya vizuri, ila tusiwe kama dodoki.Baada ya kumzaba Kibao Chris Rocks hadharani kwenye hafla ya Oscar Will Smith hana sifa na hadhi ya kuwakilisha na kutangaza Mbuga zetu iwe Bure, hiari, kujitolea ama kulipwa.
Video zote alizopiga Serengeti na vivutio vingine nchini ziondolewe au kufutwa.
Hii itasaidia zaidi kuitangaza nchi yetu na kuindolea aibu na doa kwa mtu mzima kama huyu kushindwa kuzuia hisia zake hadharani.
Wizara na wadau wa utalii wachukue hatua stahiki na za haraka sana ili kuepusha sintofaham ambayo inaweza kujitokeza.
Bora useme wee mwenzangumimi sioni kama jama kakosea ingekua wewe ungefurahi mkeo dada au mama yako au mwanao wa kike wana m bully hadharani dunia nzima inashuhudia tena kwa ugonjwa ambao kweli anao kuna vitu vinakera tena lile kofi dogo angemfyeka mtama kama ule wa adamu mchomvu alio mfumua mbasha amtie adabu.
Huyo katuwakilisha vyema watz na kama una bisha wewe ikiingia kitaa halafu semea mbovu mke wa mtu na mwenyewe yuko hapo kama hajakuchuna ngozi ukiwa hai akaivaa na kwenda nayo mpirani kucheck game ya simbaBaada ya kumzaba Kibao Chris Rocks hadharani kwenye hafla ya Oscar Will Smith hana sifa na hadhi ya kuwakilisha na kutangaza Mbuga zetu iwe Bure, hiari, kujitolea ama kulipwa.
Video zote alizopiga Serengeti na vivutio vingine nchini ziondolewe au kufutwa.
Hii itasaidia zaidi kuitangaza nchi yetu na kuindolea aibu na doa kwa mtu mzima kama huyu kushindwa kuzuia hisia zake hadharani.
Wizara na wadau wa utalii wachukue hatua stahiki na za haraka sana ili kuepusha sintofaham ambayo inaweza kujitokeza.
Crap!
[emoji706]