Mbususu enthusiast .Wewe ni wakike au wakiume? Na kwanini umejiita mbususu?
Naam,Mchepuko wa Will Smith upo unapambana kumsafisha bwana
Unaambiwa kufumaniwa ni ishu binafsiWenye nchi watakushangaa kuleta mambo ya wazungu, huku hata ukifumaniwa unaendelea tu na wadhifa wako.
No wonder umeamua kujiita hilo jina.Baada ya kumzaba Kibao Chris Rocks hadharani kwenye hafla ya Oscar Will Smith hana sifa na hadhi ya kuwakilisha na kutangaza Mbuga zetu iwe Bure, hiari, kujitolea ama kulipwa.
Video zote alizopiga Serengeti na vivutio vingine nchini ziondolewe au kufutwa.
Hii itasaidia zaidi kuitangaza nchi yetu na kuindolea aibu na doa kwa mtu mzima kama huyu kushindwa kuzuia hisia zake hadharani.
Wizara na wadau wa utalii wachukue hatua stahiki na za haraka sana ili kuepusha sintofaham ambayo inaweza kujitokeza.
Alichofanya ni sawa tu, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Mwenye hataki kwa nini unaendelea kumletea masihara...
Naam,
Vipi hali ikoje kwa Bwana wako Chriss umemkanda kanda lile shavu???