Will Smith azuiwa kuhudhuria Sherehe za Oscars kwa miaka 10

Ni shoga tu anayeweza kukubali mke wake kuliwa na wengine.. Mwanaume wa kawaida hawezi..
 
Jamani utani tu. Mbona Jada mwenyewe anakili mmewe alipanic hakukuwa na sababu ya kumpgania maana mwenyewe anaweza kujipigania inapobidi.
Hiki kidemu kinamuabisha sana Will Smith. Tatizo mshikaji kaoza hadi haoni!
 
Hiki kidemu kinamuabisha sana Will Smith. Tatizo mshikaji kaoza hadi haoni!
Yes, kuna siku kilisema kilikuwa hakitaki kuolewa kiliolewa kwasababu ya shinikizo la mama yake hata siku ya ndoa eti alilia sana hasa wakati anatembea kuelekea madhabahuni kufunga ndoa.
Ilikuwa interview akiwepo yeye, will na mama wa jada, mama wa jada hadi macho yalimtoka.
Ingekuwa no TZ watu wangesema will kapewa limbwata 😄
 
Na bado kikagegedwa na yule dogi rapper
 
Wameanzisha hashtag freewill [emoji23][emoji23] kibao kimeanza kumgeukia jada
Wee sijaona. Ila nimeona watu wengi wanamsema Jada.
Sema will anampenda Jada sana
 
Ni shoga tu anayeweza kukubali mke wake kuliwa na wengine.. Mwanaume wa kawaida hawezi..
Ndiyo Will Smith kashegeuzwa fala, rafiki ya mwanae anamla mke wake yaani wana uhusiano ambao hawaufichi na jibaba akiulizwa anasema ndiyo ilivyo atiwe tu bora akimaliza kutiwa arudi nyumbani mke wangu[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961].
Eti ndoa yao haiwafungi kutiana na watu wengine[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kajada kamempa nini...jamaa kama zezeta yaan[emoji848][emoji848]

Bibi limekazwa na ki Ben 10 lipo lipo tu ka jinga fulani[emoji57][emoji57]
Huwezi jua labda anapewa MCHANGANYO.. MCHANGANYIKO,
 
Kile si kinasagana na kina Queen latifah ndo maana ukaona kinasimulia huo utopolo...huyo Will mwenyewe nahisigi bwabwa tu[emoji848]
 
Kitu kimekomaa hivyo
Huwezi jua kule bondeni kwa madiba huenda anaifinyia kwa ndani vizuri, huoni hata DeepPond lijendi mwenzangu hapindui wala kukohoa kwa mama j


We ombea kile kibibi kikosee njia kije kinitunuku na mimi hapa, kisha nitawaambia kipi kilichomchanganya will Smith
 
Mwanamke mwenyewe anamiliki " public pussy"

Smith jinga kweli, ningekuwa mwanaume wa Jada asee siwezi mtetea kwa ishu yake yeyote, mtu anagawa K kifala hivo[emoji848]
Na asingekuwa na Will angeshapotea kwenye stardom, hata wakiachana sasa hivi hana cha kumbakisha 'mjini' labda aende kwa kutumia upepo wa wanae.
She is irrelevant.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke mwenyewe anamiliki " public pussy"

Smith jinga kweli, ningekuwa mwanaume wa Jada asee siwezi mtetea kwa ishu yake yeyote, mtu anagawa K kifala hivo[emoji848]
acha ufala basi.Kama ana public pussy kagonge na wewe basi.

Kama ana public pussy tuoneshe hiyo pussy hapa.au kama na video yoyote.Huu upimbi uko Bongo TU. Unashadidia vitu hata usivyona uhakika navyo kama ndo wewe.
Mastaa kibao mambele wamepigama vibao hakuna kilichotokea.Wala hakuna kitakachotokea Kwa Willy smith
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…